Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1647490385396.jpg
 
Thank you
Nimepona sasa , ni miaka kumi imepita toka nilvyoumwa ulcers .
Glory be to God ‘madam ooh

Ulcers zinatesa watu, kuna mdada huku alikuwa mpaka analia. Na ni mdada mkubwa.

Zamani nilikuwa naumwa tumbo vbaya mno, nikichelewa kula lunch nikala zaidi ya saa 6 cha moto nakipata.
Kwenda hosp nikaambiwa nina H. Pylori
Dr. Akanambia zingatia dawa ‘zilikuwa ni omeprazole… zingatia haswa usije pata ulcers kabisa.
Nikawa msikivu, mpaka sasa sijakutana na ile hali tena.
Nikikumbuka yale maumivu alooh tena tu ni bacteria, sitamani hata kupata picha ya mgonjwa kabisa.
 
Mungu ni mwema kweli dear ..
Maumivu ya tumbo pia hapo kuna acid reflux , burning sensation kwenye kifua , bloating etc .

Bora ulivyozingatia ushauri wa doctor maana Ulcers zinatesa vibaya mno , kila siku uwe mtu wa dawa tu.

Niliona Mama yangu anaumwa vidonda toka yupo binti hadi uzeeni .. nashukuru Mungu aliniponya wakati nikiwa binti bado ..
 
View attachment 2155583
Ni jukumu letu sote kuendelea kukumbushana umuhimu wa kuwa na afya njema Kwa watu wa Rika lote. Though msisitizo zaidi uendelee kutolewa Kwa vijana wanaochipukia.

Unapokuwa unaugua mara kwa mara huathiri kipato chako pamoja na kuathiri shughuli zako za maendeleo Kwa ujumla, kwani itakulazimu kuhudhuria kazini mara chache wakati muda mwingi ukitumia hospitali kujiuguza.

Sio HIV tu bali hata maradhi mengine pia yachukuliwe Kwa uzito unaostahili hasa Pressure, Kisukari, Moyo, Saratani n.k hasa kwa sisi Wazee🙊

God is good all the time 🙏🙏🙏🙏
😬😬😬 sikumbuki mala ya mwisho nimeugua laini.. zaidi ya stress na misongo ya mawazo inayochoshaga mwili, nikisema naumwa ujue mtu namla fix ili stoy ziwe fupi au sitaki kufanya kitu au na kwepa kitu, namshukuru Mungu .. ukimwi wenyewe nilipimwa mwaka jana kwa mbinde kweli kweli ila body checkup ya mwili sana nakumbuka nilifanya hivi karibu katika test zote walikuta sina mafuta mwili.. ila kila kitu kilikuwa okay
 
Back
Top Bottom