Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yule profesa ndio kamfundisha ukocha klopp alimuokota bar,,Msimu ujao nyie livakuku genge la wahuni tutawapiga nje ndani
Kwa timu ipi mliyonayo ya kutupiga sisi??
Hadi wolves wanawatandika.
Mbona tu kukalia ile nafasi ya 2 hamuwezi
Na tuliwalisha bao Tano kwa nunge.

Nyie hata mkicheza na Dar kwanza,Dar kwanza anashinda.

Huyo profesa wenu wa gengeni ameshachanganyikiwa haelewi hata anafanya nini.
Mashabiki nao wamepoteana mara De Gea aondoke mara Ronaldo Mzee,mara kapteni mlevi yaani ni full burudani.
 
Shouuzzzz leo umetokolezeeaa ki headmistress uwiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.

Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
 
Kawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.

Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila the lady is so hot ๐Ÿ”ฅ, isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live ๐Ÿ™Š๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Nilikuwa sijaelewa Ujumbe, kumbe unawahusu Vijana wa Leo.

Sisi enzi zetu ilikuwa unamwambia Mama Bhoke ajitayarishe tu wewe ni kulenga shabaha basi ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ haya mambo ya vijana wazuri kizazi cha leo kama kina Saint Anne ndio watakuna na hivyo vi mbwanga..
 
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila the lady is so hot ๐Ÿ”ฅ, isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live ๐Ÿ™Š๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ ila nyie ๐Ÿคฃ!
 
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako

Ila the lady is so hot , isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live
Sifa ninazotoa ni amini na kweli
Anastahili..boss lady anastahili kabisa,hakika anastahili.
Nasema uongo ndugu yangu?
.........

Hapa bado sijaanza kumvurumishia mistari mwanaume mwenzenu,mtoto wa mwanamke mwenzangu fulani aliyenifyatulia mwanaume na nusu duniani hapa.
 
Kawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.

Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
Anne unajua Nimecheka mpaka nahisi kukauka kwa kicheko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ
 
66F461F8-D1C6-4FC9-B368-883F6EA78A6D.jpeg
 
wee ndyoo bhana. Headmistress afu huniambii kwann? Je km nilkua mwanafunzi wako? Hahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃilaaa na Saint Anne leo mmejua kuniua mbavu ๐Ÿฅฑ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฑ!!
 
Trey je? Sema huyu kapoa kama uji wa mtoto ila mcute

Yup, ya JS niliiona Ytubeโ€ฆ

Macho yako good
Huyo sio sana, Willow kapo mno aaah, hata Jaden nae sema ananiudhi anavojiwekaga ka zombie, ananikeraa mnoo.

Yaan JS nlivoskia hata sikula yaan, nlikua had nataka kulia aseeeh.

na mie masikio yangu yako poaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwa timu ipi mliyonayo ya kutupiga sisi??
Hadi wolves wanawatandika.
Mbona tu kukalia ile nafasi ya 2 hamuwezi
Na tuliwalisha bao Tano kwa nunge.

Nyie hata mkicheza na Dar kwanza,Dar kwanza anashinda.

Huyo profesa wenu wa gengeni ameshachanganyikiwa haelewi hata anafanya nini.
Mashabiki nao wamepoteana mara De Gea aondoke mara Ronaldo Mzee,mara kapteni mlevi yaani ni full burudani.
ila mashabiki wa man u khaaah..

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom