Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,316
Hadi kufikia kuzeeka pamoja na Bibi yako, imesaidia sana Mimi kumsifia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kuna wakati unakuta amezidisha chumvi kidogo, unajua hapa huenda amepitiwa ninachofanya ni kumsifia kuwa chakula Cha Leo ni kitamu sana.
Ukitoka hapo mnaenda kukumbushia Ujana 🙈🏃🏃🏃🏃