Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Abee mdogo angu
Abee mdogo angu
Utakuwa umechukua demu wa mod wewe siyo bure Kwa hizo banKuna mtu anazingua af anakuletea ushanta
Acha masihara basi [emoji2][emoji2]Sehemu nzuri eeh.. mahala pa kupumzikia [emoji3][emoji3][emoji3] baada ya heka heka.. jana peke yake nimetembea 726km.. hadi mda huu naingia kujificha.. ona jirani zangu haoView attachment 2144110
Dah..nimekuta manyoya Tu,watu wanasifia shingoNilikisubiri sana dokta umeniangusha!
Sikuoni bwana 😒😒😒..On my way T.O.D😂😂
Heshima yako dada yanguAbee mdogo angu
Karma mamboAcha masihara basi [emoji2][emoji2]
Hahahaaa.....Dah..nimekuta manyoya Tu,watu wanasifia shingo
Nimeipokea mdogo anguHeshima yako dada yangu
Nyuma ya kibao Cha shule😂😂Sikuoni bwana 😒😒😒..
Vizuri sana kama ni shwari mkuuShwari [emoji846][emoji846]
Akhsante sana kwa kuipokeaNimeipokea mdogo angu
weeeeeeee usinifanyie hivyo nimejihimu kuhesabu namba watoto.. Unajua nimekuwa mwalimu wa nidhamu hapaaa.. 😎😎😎Nyuma ya kibao Cha shule😂😂
Mimi voda mdogo anguAkhsante sana kwa kuipokea
Unatumia vocha ya mtandao gani?
majukumu shem ya hapa na paleDoh unapotea sana shem!!
Mimi ndiyo mwalimu wa zamu😂😂weeeeeeee usinifanyie hivyo nimejihimu kuhesabu namba watoto.. Unajua nimekuwa mwalimu wa nidhamu hapaaa.. 😎😎😎