Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.

Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official[emoji119][emoji119][emoji119]
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umechachuka sana shida nn cc? Yaan uwiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako [emoji23][emoji23]

Ila the lady is so hot [emoji91], isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sifa ninazotoa ni amini na kweli
Anastahili..boss lady anastahili kabisa,hakika anastahili.
Nasema uongo ndugu yangu?
.........

Hapa bado sijaanza kumvurumishia mistari mwanaume mwenzenu,mtoto wa mwanamke mwenzangu fulani aliyenifyatulia mwanaume na nusu duniani hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupatwa kwa mama mkwe woiiiiiiiiih. Leo mbavu cna wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
20220309_141000.jpg
 
Back
Top Bottom