ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,378
- 118,794
Wewe hujitunzi tena, mbona unanibania?@heaven sent ndio anajiprotect![]()


Wewe hujitunzi tena, mbona unanibania?@heaven sent ndio anajiprotect![]()


Mimi huyu huyu nikubanie kweli?Wewe hujitunzi tena, mbona unanibania?![]()
Fiction ya maanaHaha zile ni chemicals tuu sema amefanikiwa yani kutudanganya



Dah sababu wewe ni kaka yangu acha nikubali usemacho kweli kaka ni mito















Ulikuwa unaenda wapi?Acha kulia lia wewe.
Karibu tule tuendelee na safari.View attachment 1224824
OkaySijaona mantiki yoyote apo
Hongera mkuu. Anaonekana kweli ni mtoto aliyetoka kwenye familia inayojiweza.Mkuu huyu ndio boss anayeniweka mjini.
Ni mtoto wangu wa kwanza.View attachment 1224850
Namzingua tuu.Ha ha mkuu mbona kama unakata tamaa mapema,
Subiri tu utaelewa mkuuWapi nimesema Nina uhakika?
Hadi za miguu wakipost wanafuta.Wameshindwa hata kupost picha za miguu tu...!
Hawana vyura mkuu..![]()


🤣🤣🤣Watakuchamba shauri yako mkuu.Hawana vyura mkuu..![]()
Sijambo carba akee za wewe mamaWe mdada jaman nakusalimia mimi
Zimefanyaje etiNimezoom lips za dogo lako.
Na akienda morocco hua anaandika je??