Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitag sehemu yoyote yenye ugomvi humu jukwaani nikapate ban please.
Hamna ugomvi leo au nikuanzishie tu uzi tujifanye tunatukanana??

Sema sasa hapo na mimi nitakula ban au wewe cha kufanya muibukie Melo pm muambie akuzawadie ban moja takatifu tena huko itakuwa vizuri zaidi maana utajichagulia na muda kabisa unaotaka wewe wa kukaa kifungoni!!
 
Anzisha uzi unitag.
Hamna ugomvi leo au nikuanzishie tu uzi tujifanye tunatukanana??

Sema sasa hapo na mimi nitakula ban au wewe cha kufanya muibukie Melo pm muambie akuzawadie ban moja takatifu tena huko itakuwa vizuri zaidi maana utajichangulia na muda kabisa unaotaka wewe wa kukaa kifungoni!!
 
Nipo katikati ukiangalia kwa jicho moja
IMG_20191014_152320.jpeg
 
Back
Top Bottom