Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,334
- 176,127
Hiyo simu ilipowekwa!!selfika na Jf...... Mdukuzi samahani leo naomba usinidukuwe bwana..View attachment 1225038
Hiyo simu ilipowekwa!!selfika na Jf...... Mdukuzi samahani leo naomba usinidukuwe bwana..View attachment 1225038
Akuuu!Karibuu
Akidukua picha anaitupia wapi etiselfika na Jf...... Mdukuzi samahani leo naomba usinidukuwe bwana..View attachment 1225038
mimi alikuja akaiqoute kwenye picha niliyoziba suraAkidukua picha anaitupia wapi eti

Akuuu!
hahaha....Huyo simu ilipowekwa!!
Long time no see youChemical concentration
Dogo aliokota paka hukoo akaja nae nyumbani.Ilikuwaje tena?? Au ulimkanyaga mkia
Kabila + ulevi =Jaribu tu uone bia zilivyo tamu... yani bia inaweza kua imeacha naniliii mbali sana![]()




Wameshindwa hata kupost picha za miguu tu...!Nipo comment ya 5000+ .
Wadada kwanini mnatuma picha na kufuta? Yaani nimescroll sioni picha kabisa. Wengine tunapata muda wa kuperuzi jumapili.
Ungekuwa karibu na nilipo, mug moja ya Fanta ingekuhusu...Mate yamenitoka mkuu
Hii picha nimeshindwa kuileawa![]()
Dogo aliokota paka hukoo akaja nae nyumbani.
Usiku nimejilalia sina habari, nastuka Kuna kitu kilainiii pembeni yangu ndani ya blanketi halafu kinakoroma. Hapo nimelala mwenyewe, hali iliyonipata ningekuwa na pressure ningekufa. Hadi nakuja kugundua ni paka nilikuwa nasweat kwa hofu.