Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sasa umepata faida gani kuedit comment yangu?? Umelipwa sh ngapi??msalimie shosti yako nabii tito
Sasa umepata faida gani kuedit comment yangu?? Umelipwa sh ngapi??msalimie shosti yako nabii tito
Kumbe ukweli unauma eeh?? Pole!!sijawahi kuwa mtakatifu hata kidogo sister nipo kwenye mfungo tu
nimepata furaha au wewe ulitaka nipate nini?Sasa umepata faida gani kuedit comment yangu?? Umelipwa sh ngapi??
ukweli gani uliouongea sister?Kumbe ukweli unauma eeh?? Pole!!
🤣🤣🤣🤣kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]inaitwa double impact
Pweza beachJumapili Hyooo [emoji115][emoji115][emoji115]View attachment 1224890
Samahani bro usije ntakua nshaondoka[emoji1322][emoji1322][emoji1322]Sawa nakuja na tunguli zangu lakini... Niko Rahaleo hapa ngoja nimalize View attachment 1224883
Hii ya jumanne ya tatu ya mweziii wa tisa[emoji4][emoji4]Jumapili Hyooo [emoji115][emoji115][emoji115]View attachment 1224890
Enjoy!nimepata furaha au wewe ulitaka nipate nini?
Foh!ukweli gani uliouongea sister?
You too enjoy your dayEnjoy!
NdiooZimeotaa ?
Hahahaha Mganga umenogewa mpaka umejianika fulllll.Pweza beach View attachment 1224892
Aisee. Huu uzi ulifanya mnara wangu ukasoma 5G ila baada ya kufika kwenye haya magari mnara umerudi G kwa unyonge.
Basi hapo kuna jamaa mmoja hafurukuti yaani. Ila ana haki ya kutokufurukuta maana upo vizuri kweli.
Hata mimi ningepata Toto kama wewe ningekula hata mihogo nimnunulia private jet.
Hongera Madame Mwalimu na huko kwenye ualimu unauza sura tuu maana life tayari unalo.
Ngoja nizisake chapaa.
Haukosi utetezi.Tukiwatag wana uchumi hapa watasikitika sanaTbl
Sbl
Nakumbuka ndio wanaongoza kwa mapato recently.....
Top 50 hata sayona hawapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hazard akiacha pombe nidai sh. kumi.Hili jina la hazard ndio zuri lile lingine bayaa.
Halafu hazard ana kawowowo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu si uliacha pombe wewe? Nakuzoom tuu unavopost pombe.