wakuu, ilikuwa experience nzuri mno kuwa na nyie hapa nimejifunza mengi na kupata mwanga kiasi juu ya muonekano na hulka ya baadhi ya members huku kwenye anonymity yetu....nawashukuru sana kwa hili na kama kuna mtu nilipata kumkosea tusameheane niko humble down to earth akitaka nitamuomba radhi hadharani, nimeyasema haya kuanzia leo mpaka milele sitoandika tena chochote huku muda wa kuwa uzi upo basi mimi sitochangia chochote tena uwe ujumbe huu ni wa kuaga kwa muda wote tuliokuwa pamoja hapa..
nichukue fursa hii kuwatakia usiku mwema na maisha mema..
mahondaw nashukuru mama, nashukuru sana kukufahamu..
9.8ms squared Heaven Sent na wengineo niliowasahau..
kazakh, destroyer
Ndio maaana Antonia umemuachaMichepuko nimeiambia nimefirisika, haitaki hata kupokea simu zangu wala kujibu sms.. hela hizi acha tu mkuu wangu.. unakuwa na daily account na kama hiyo boss. that why naweza fanya hivyo.. na uzuri michepuko toka imejua nimefuria hainataki siombwi hata hamsini![]()

Kwamba...?
NakaziaSt Anne ni wa kupuuzwa tu.
Maneno yake hayana maana.
Piga sana vyombo mkuu.

Nimerudi 🥺🥺Unarudi au unaondoka?
Ngoja kwanza..Kuna mmoja aliniuliza nasali wapi nikamwambia Lutheran dah akaanza kusema kule sio na bla bla kibao anavutia nihamie kanisani kwao ni kama kunyanganyana wateja

Imeandikwa kwenye kitabu kipiHivi ni kweli kwamba anaetumia pombe ni mwenye dhambi kuliko wote, au kweli maovu yote chanzo chake ni pombe?

Unabadili I'd na ku switch kwenye I'd nyingine..! Nini kimekukwaza hadi uondoke mazima mkuu!!??wakuu, ilikuwa experience nzuri mno kuwa na nyie hapa nimejifunza mengi na kupata mwanga kiasi juu ya muonekano na hulka ya baadhi ya members huku kwenye anonymity yetu....nawashukuru sana kwa hili na kama kuna mtu nilipata kumkosea tusameheane niko humble down to earth akitaka nitamuomba radhi hadharani, nimeyasema haya kuanzia leo mpaka milele sitoandika tena chochote huku muda wa kuwa uzi upo basi mimi sitochangia chochote tena uwe ujumbe huu ni wa kuaga kwa muda wote tuliokuwa pamoja hapa..
nichukue fursa hii kuwatakia usiku mwema na maisha mema..
mahondaw nashukuru mama, nashukuru sana kukufahamu..
9.8ms squared Heaven Sent na wengineo niliowasahau..
kazakh, destroyer
Alafu mkisemwa hamuwezi kupiga show unalialia tu.Sasa mwanaume kweli unakula kapile hizo?.Tutawapigia sana nyinyi.
Wimbo huuEwaaaa
Kuoshwa kwa damu
Itutakasayo ya Kondoo
Ziwe safi nguo nyeupe mno
Umeoshwa kwa damu ya Kondoo![]()
Dah mzee cheers

Jambo 😀Dah mzee cheers![]()
Alafu mkisemwa hamuwezi kupiga show unalialia tu.Sasa mwanaume kweli unakula kapile hizo?.Tutawapigia sana nyinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app



Mmmh, BADO MAPEMAwakuu, ilikuwa experience nzuri mno kuwa na nyie hapa nimejifunza mengi na kupata mwanga kiasi juu ya muonekano na hulka ya baadhi ya members huku kwenye anonymity yetu....nawashukuru sana kwa hili na kama kuna mtu nilipata kumkosea tusameheane niko humble down to earth akitaka nitamuomba radhi hadharani, nimeyasema haya kuanzia leo mpaka milele sitoandika tena chochote huku muda wa kuwa uzi upo basi mimi sitochangia chochote tena uwe ujumbe huu ni wa kuaga kwa muda wote tuliokuwa pamoja hapa..
nichukue fursa hii kuwatakia usiku mwema na maisha mema..
mahondaw nashukuru mama, nashukuru sana kukufahamu..
9.8ms squared Heaven Sent na wengineo niliowasahau..
kazakh, destroyer

Hamna hoja just nonsense sikuendelea kuzingatia comparison zakeNgoja kwanza..
Alikupa niaje
Mwisho ukaendaje![]()
Siaminii kama alikua anamaanisha asee! Au ndo Amekwazika sijafungua kwa waziri mkuu jamani!!!
Nime ku pm rafiki fanya kucheki!wakuu, ilikuwa experience nzuri mno kuwa na nyie hapa nimejifunza mengi na kupata mwanga kiasi juu ya muonekano na hulka ya baadhi ya members huku kwenye anonymity yetu....nawashukuru sana kwa hili na kama kuna mtu nilipata kumkosea tusameheane niko humble down to earth akitaka nitamuomba radhi hadharani, nimeyasema haya kuanzia leo mpaka milele sitoandika tena chochote huku muda wa kuwa uzi upo basi mimi sitochangia chochote tena uwe ujumbe huu ni wa kuaga kwa muda wote tuliokuwa pamoja hapa..
nichukue fursa hii kuwatakia usiku mwema na maisha mema..
mahondaw nashukuru mama, nashukuru sana kukufahamu..
9.8ms squared Heaven Sent na wengineo niliowasahau..
kazakh, destroyer