Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne karibu
IMG_20220113_104003_edit_78780283977040.jpg
 
Kwaiyo walokole mnatuona kama maboya flani hiviii
Kwa wale wanaojilewa wako vizuri wengi wao.
Ila wake wanao jihesabia bora kuliko wengine wote ambao hawako kwenye makanisa yao hai ndio mtihani.

Kwa mfano mtu anasalia Siloam anamuona yoyote asiye kua Siloam ni mwenye kupotea, kadhalika na wanajiita walokole huwaona wote wasio fungamana nao wamepotea.

Hapo ndio kwenye shida na walokole na wenye kujiita wameokoka.
 
Kuna mmoja aliniuliza nasali wapi nikamwambia Lutheran dah akaanza kusema kule sio na bla bla kibao anavutia nihamie kanisani kwao ni kama kunyanganyana wateja
 
Back
Top Bottom