Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,353
Ni kiu tu ndio tunaikaribisha ijumaa hivyoWeee zote hizo??
Ni kiu tu ndio tunaikaribisha ijumaa hivyoWeee zote hizo??
Karibu sana Mkuu uwepo wako ni muhimu sana jamani!tusalimiane yaishe please, ikishindikana leo ntajiskia nimekanushwa hadharani sitoonekana tena hapa kwenye uzi..
nibakishe au niwaage milele..
nashukuru mama na wewe uwepo wako ni wa muhimu sana japo najua haiwezekani..Karibu sana Mkuu uwepo wako ni muhimu sana jamani!
Utaweza kunyanyuka na kutembea kwel!! Naona nyingi sanaNi kiu tu ndio tunaikaribisha ijumaa hivyo
Haya ni maji sio bia eti 😀Utaweza kunyanyuka na kutembea kwel!! Naona nyingi sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Sauwaaa.. Punguza speed sasa doh upo kasi sana😂😁nashukuru mama na wewe uwepo wako ni wa muhimu sana japo najua haiwezekani..
niko naandika salamu anza kufungua..
salama msalimie mdogo wakoNjema sana! Mu hali gani huko??
🙏🙏🙏List yangu ya usiku.. ambayo nina play kuanzia mdaa huu hadi keshoo...
🥰 Saint Anne
Heaven Sent Tinsley
View attachment 2079788
View attachment 2079789
View attachment 2079790
View attachment 2079793
View attachment 2079794
View attachment 2079795
Usiwaze Salamu Zimefika kabisa!salama msalimie mdogo wako
Hahahaaa.... Una vituko sana!haki ile kitu nimeona jioni imenifanya hamna huku moyoni we hujui tu hata nimeshindwa kutoka online eti nikifumba macho naona alama nyekundu inbox nikifumbua hamna kitu dah..
mh unanifanyia ukatili mkubwa sana hufahamu tu..Hahahaaa.... Una vituko sana!
Tupo pamoja mkuu hebu tuchitchat kwanza sasa!! Sawa rafiki mzuri eeehh??mh unanifanyia ukatili mkubwa sana hufahamu tu..
kwamba kabla ya PM tuanzie hapa af nikishakuzoea tutaenda huko, eti!?..Tupo pamoja mkuu hebu tuchitchat kwanza sasa!! Sawa rafiki mzuri eeehh??
Huko hakuna maajabu rafiki hapahapa ndo furesh!kwamba kabla ya PM tuanzie hapa af nikishakuzoea tutaenda huko, eti!?..
mi sitaki nikuandikie kitu af mtu a like..Huko hakuna jipya rafiki hapahapa ndo furesh!
Endelea kupandisha camera juuMuda wa kufukuza upepo
View attachment 2079586
