Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Kama sionItakua vizuri aseeh!Mmh sidhani.
Kama sionItakua vizuri aseeh!Mmh sidhani.
Nimekosa Mimi, nimekosa sana 😂we jamaa subiri basi nimalize kesi yangu nyie nendeni hata jukwaa la usiku wa manane..
Kuna gari nimetuma ikuletee Ujumbe wangu, ukipokea usiache kuujibu 🙈🏃🏃🏃🏃🏃🏃Wapi huko tena?![]()
Eeeeh umeusindikiza na hela ya kiwanja au ada?Kuna gari nimetuma ikuletee Ujumbe wangu, ukipokea usiache kuujibu![]()
×2Nimekosa Mimi, nimekosa sana 😂
Karibu sana rafiki... Oh thankd Lord 🙏selfika hatujapiteza Mwanachama!! Warmly welcome!mahondaw mama, nashindwa kuondoka hapa nikiona comment zako, basi nimebadili msimamo na ni mara chache kufanya hivyo....okay, as long as uko hapa na mimi ntabakia..
santee, kesho kama kawaida maombi ya kuja PM yanaendelea ujiandae sawa!?..Karibu sana rafiki... Oh thankd Lord 🙏selfika hatujapiteza Mwanachama!! Warmly welcome!
Hivi serious ulikuwa unaondoka? Kwa nini?mahondaw mama, nashindwa kuondoka hapa nikiona comment zako, basi nimebadili msimamo na ni mara chache kufanya hivyo....okay, as long as uko hapa na mimi ntabakia..
ndo ilikuwa kwaheri hiyo si niliweka ahadi jioni haiwezekani mi naumia then sipati nnachokitamani niache kwanza ngoja moyo wangu upoe kwanza bado kuna visindano vinachoma choma..Hivi serious ulikuwa unaondoka? Kwa nini?
Usiwazee na uwe na amani kabisa..siku yoyote karibu sana..santee, kesho kama kawaida maombi ya kuja PM yanaendelea ujiandae sawa!?..
santee, unaniruhusu nimringishie 9.8ms squared huu ukaribisho!?..Usiwazee na uwe na amani kabisa..siku yoyote karibu sana..
🤣🤣🤣🤣 Jiachie mdorishie sana tu!santee, unaniruhusu nimringishie 9.8ms squared huu ukaribisho!?..
9.8ms squared umeenda wapi uje ushuhudie hapa!? mwenzio bado 45% nakuja kusalimiwa mchana kweupee hapa ndo nnapomshukuru mwanzilishi wa JF..🤣🤣🤣🤣 Jiachie mdorishie sana tu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Nahisi usingizi rafiki nikutakie usiku mwema!🚶🚶🚶🚶😴😴😴😴😴😴😴9.8ms squared umeenda wapi uje ushuhudie hapa!? mwenzio bado 45% nakuja kusalimiwa mchana kweupee hapa ndo nnapomshukuru mwanzilishi wa JF..
Na wewe ni last born kwenu?ndo ilikuwa kwaheri hiyo si niliweka ahadi jioni haiwezekani mi naumia then sipati nnachokitamani niache kwanza ngoja moyo wangu upoe kwanza bado kuna visindano vinachoma choma..
Hahaha kwamba anadekaNa wewe ni last born kwenu?
hahaha lala tu bestie umefanya kazi nusu kesho ukija nakusumbua tena mpaka ulegeze kufuli kajiandae..🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Nahisi usingizi rafiki nikutakie usiku mwema!🚶🚶🚶🚶😴😴😴😴😴😴😴
Hahaha kwamba anadeka