Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
hapana yapo mazoezi mengi, Pendael24 atakufundisha mie sijui sana hayo mamboGym inapunguza tumbo?? Sio kwamba ntakua baunsa??🙄!
Una vidole visafi sana
Ndiyo ndiyo..Ndugu wana mazungumzo kidogommenitengaaa nawaona mtu na mdogo wake

Siku nikifika dar nikutembeleeShukranii
nifungulie PM jamani..Hujanielewesha hiko ni kitu gani!!
Hapo lazima uwe na akaunti mbili au Tatu tofauti ili akaunti ya servings isiwe inaguswa Kwa kipindi ulichojiwekea labda miezi 6 au 12 kulingana na malengo yako.Inategemea na lengo mkuu.. kama una source tofauti inawezekana
daah nimepata shambulio la moyo bila kutarajia hapa nahisi damu inarudi miguuni badala ya kupanda kwenye moyo..mahondaw anaua watu humu basi tu watu wanakufa na tai zao shingonii 😂😂😂😂😂
mahondaw unaleta balaaa huku 😀😀😀😀😀daah nimepata shambulio la moyo bila kutarajia hapa nahisi damu inarudi miguuni badala ya kupanda kwenye moyo..



mahondaw kuanzia leo naomba usiselfike tena naskia wivu mkali sana yaani niko tayari tukose wote, kama una maskio na usikie ikiwezekana delete account kabisa nisijue kama upo hapa ukanda wa nchi za SADC..
wanaume tumeumbiwa mateso, lidada lizuri hivyo hakiyanani namchukua namfunga kamba mguuni sitaki hata upepo umguse huko nje atakaa ndani kama yai la tausi..mahondaw unaleta balaaa huku 😀😀😀😀😀
Michepuko nimeiambia nimefirisika, haitaki hata kupokea simu zangu wala kujibu sms.. hela hizi acha tu mkuu wangu.. unakuwa na daily account na kama hiyo boss. that why naweza fanya hivyo.. na uzuri michepuko toka imejua nimefuria hainataki siombwi hata hamsini 😀😀😀Hapo lazima uwe na akaunti mbili au Tatu tofauti ili akaunti ya servings isiwe inaguswa Kwa kipindi ulichojiwekea labda miezi 6 au 12 kulingana na malengo yako.
Binafsi natunza kwenye akaunti ya Juniors nilizofungua kutunza akiba za watoto, kwangu natoa hela kila siku hata nikiombwa na mchepuko saa 4 Usiku natoa na kumtumia 🙊.
Mniombee 😢
Ndugu hebu tulia hahahahahahaamahondaw kuanzia leo naomba usiselfike tena naskia wivu mkali sana yaani niko tayari tukose wote, kama una maskio na usikie ikiwezekana delete account kabisa nisijue kama upo hapa ukanda wa nchi za SADC..
😂😂😂😂😂 humu wadada wanavyotufanyia acha tu.. na ukiwafata PM wamefungaaa.. unabaki kutokwa mate tuuuwanaume tumeumbiwa mateso, lidada lizuri hivyo hakiyanani namchukua namfunga kamba mguuni sitaki hata upepo umguse huko nje atakaa ndani kama yai la tausi..