Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Can't say I missed this place 😏😏
But ohh well....reality is reality!πŸ₯΄
20220113_185558.jpg

20220113_185558.jpg
 
Michepuko nimeiambia nimefirisika, haitaki hata kupokea simu zangu wala kujibu sms.. hela hizi acha tu mkuu wangu.. unakuwa na daily account na kama hiyo boss. that why naweza fanya hivyo.. na uzuri michepuko toka imejua nimefuria hainataki siombwi hata hamsini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hongera kutumia janja hiyo, me nilihama michepuko kutoka Ile Jobless hadi ya Sasa yenye kazi but vibomu vyao ni Kila siku utasema mwenzao nafanya Benki ya Dunia πŸ˜’πŸ™Œ

Saivi nataka niokoke tu mbona mtume Paulo aliweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ndugu hebu tulia hahahahahahaa

Sasa watu wakasafishe macho wapi?? Pambana uingie huko piyemu sisi tunaenjoy hapa hapa
mkuu muinjoy kwani mahondaw amekuwa fanta orange!? hivi huu wivu mkali kwa vitu visivyojulikana nautoa wapi!? hii hali sijaiskia muda mrefu tangu nipate uhuru wa kijinsia..
 
Hongera kutumia janja hiyo, me nilihama michepuko kutoka Ile Jobless hadi ya Sasa yenye kazi but vibomu vyao ni Kila siku utasema mwenzao nafanya Benki ya Dunia πŸ˜’πŸ™Œ

Saivi nataka niokoke tu mbona mtume Paulo aliweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Michepuko ikujue huna hela huna pa kuishi kwisha habari yako.. hutopoeka simu wala sms.. na inakuwa inakukwepa hatariii... ukweli nashukuru sina kizinga hata kimoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. hela yangu ni hela yangu na mama yangu..

Saving muhimu sana kaka, hatujui kesho na kesho kutwa ikoje
 
Halafu ulikataa katakata kuniambia your former id!!
ndo utanipenda!? kwanini unataka kunisingizia eti nilikuwa na ID ya zamani ili ugundue nini kwenye huu upendo mpya unaonipata hapa..
please usiselfike tena kama imeshindikana kunifungulia mlango walau nije nililie huko huoni naaibika hapa!?....halafu ni nani aliewaongopea wanawake eti mwanaume kulia ni jambo la aibu, utaskia ohhh gentlemen ni mwanaume mweusi mgumu ana mikono ya kukwaruza na bla bla nyingine yaani sasa nadeclear interest hapa naskia machozi yananilenga lenga kama picha ya yule paka anaezunguka mtandaoni dah!..
 
Mama Mchungaji niombee niokoke tu, yaani Mimi Leo hii wa kumlipia mtoto wa mchepuko ada ya Mwaka Mzima, kweli? πŸ™†
Ama kweli wewe umeshikwaaa unalipa hadi ada πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Mie majuzi nimekutana na mdada tuliachana miaka mingi, ananiambia ana mtoto wangu ana miaka mitano sahii.. kidogo nijikwae.. nikamuambia mbona mie mgumba jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. akaamini akajizingusha akaja sema alikuwa ananitania na baada ya kuanza muelezea majangaaa yangu na hali ya ugumba.. nika win πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣
Akili yako unaijua mwenyewe
 
Yaani nahisi hizi sio akili zangu kabisa, ngoja niende nyumbani wakanitapishe nilivyolishwa πŸ™Š
 
Back
Top Bottom