Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Umepotea sana wee mwanaume!
Majukumu ya hapa na pale jumlisha likizo. Nashindwa kukufuata PM [emoji3]
Umepotea sana wee mwanaume!
we jamaa subiri basi nimalize kesi yangu nyie nendeni hata jukwaa la usiku wa manane..Itajulikana mbele ya safari, utajikuta zile ulizozificha unazitoa nakunipa 😂
na utashindwa sana..Majukumu ya hapa na pale jumlisha likizo. Nashindwa kukufuata PM [emoji3]
Nawe si umefunga wewe nilishakuja kufata zawadi yangu ulokua unanidorishia nikagonga mwamba!🙃Majukumu ya hapa na pale jumlisha likizo. Nashindwa kukufuata PM [emoji3]
Embu jaribu tena tuone… 😀Nawe si umefunga wewe nilishakuja kufata zawadi yangu ulokua unanidorishia nikagonga mwamba!🙃
Wee nishaolewa miyee!🚶!please please nasubiri kuona muujiza wa salamu huko 👉 💌..
and i won't share the update..
Zawadi haijaharibika kweli???Embu jaribu tena tuone… 😀
🤗🤗🤗😌😌🤗🤣🤣🤣🤣!!we jamaa subiri basi nimalize kesi yangu nyie nendeni hata jukwaa la usiku wa manane..
Yaani imeharibika kabisa maana katikati ya mwezi huu … 😜😜Zawadi haijaharibika kweli???
sasa salamu inavunja ndoa?! hata mimi nna wake tena wawili..Wee nishaolewa miyee!🚶!
Ee Mungu anipe nini mimi jamani🤗🤗
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamanii!!sasa salamu inavunja ndoa?! hata mimi nna wake tena wawili..
Bora nisogee mbele zako tu utanihurumia kwenye vizinga
Ee Mungu anipe nini mimi jamani[emoji847][emoji847]
Weee zote hizo??
tusalimiane yaishe please, ikishindikana leo ntajiskia nimekanushwa hadharani sitoonekana tena hapa kwenye uzi..🤣🤣🤣🤣🤣 Jamanii!!
[emoji39]