Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,969
- 8,115
hiyo ni process ya muda mkuu wangu FX ni kwaajili ya big boys ukiona umetoboa umebahatisha tu..Duuuh, ulijiachia mno. Ulitaka ku double ndani ya siku 1?
hiyo ni process ya muda mkuu wangu FX ni kwaajili ya big boys ukiona umetoboa umebahatisha tu..Duuuh, ulijiachia mno. Ulitaka ku double ndani ya siku 1?
🙄🙄🙄 sio bwanaa..Umeanza kuninanga!
Habari za siku mkuu !! 🤚Nimeshamisi sato mpaka naumwa!!Aiseeeeeeeee!!
Wala kitambi hakizibii watu njia..😂.Kitambi kisikuharibie pozi; hakiwashi wala hakiumi. Yeah mpasuo umekaa penyewe. Mpo vizuri na fundi wako mama. Kongole sana
Inategemea na lengo mkuu.. kama una source tofauti inawezekanaIs it practical Sir?
How?
Enjoy your timeAsante Mirzs!
Sio kubahatisha mkuu. Ondoa/punguza matumizi ya bahati kwenye maisha. The hustle is real mkuu.hiyo ni process ya muda mkuu wangu FX ni kwaajili ya big boys ukiona umetoboa umebahatisha tu..
😀😀😀 una trade kidogo kidogo mkuuHahaaaaaa kwa hiyo niwe mwangaliaji tu nyie muendelee kushusha $€£
Kisikuchanganye; wewe kipakate tu kwa amaniWala kitambi hakizibii watu njia...
Nna kitambi mwenzenu hadi natamani nikakitupe




Nimependa ndio nimesema wakuache..Umeanza kuninanga!
Yeah huo ndiyo ukweli waliamua tu kutii sheria na kuwa wapole hawakutaka kuleta ukorofi! Wanafikiri wale makomandoo wangeamua kufight back hao mapolisi wangebaki?Nahisi wale makomdanoo moja walihisi pia kama test ya nidhamu kwao pia walikuwa na matarajio flani ila pia nidhamu bado ipo kwao.. sio kwamba walikuwa wanyonge
kwa FX nimesurrender mkuu na nimekubali kushindwa..Sio kubahatisha mkuu. Ondoa/punguza matumizi ya bahati kwenye maisha. The hustle is real mkuu.
Lawama zote apewe KhantweMwenzangu mimi ni mama Mchungaji wa mwendokasi. Nagonga mpasuo wangu, habari sinaaaa
Wangeliwa utamu sanaaa 😋😋😋Yeah huo ndiyo ukweli waliamua tu kutii sheria na kuwa wapole hawakutaka kuleta ukorofi! Wanafikiri wale makomandoo wangeamua kufight back hao mapolisi wangebaki?
Makiwendo 😒😒😒😒😔😏😏😏😏😒😒😒
Khaa mbona unamuonea tena shoga angu?
Huyu ni shoga yako kumbe??Khaa mbona unamuonea tena shoga angu?