Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakuu.

Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.

Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona

Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.

Asante sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.

Hebu Mungu Akatubariki sote na mwaka huu mpya ulioanza ukawe wa mibaraka tele; na kila mmoja wetu akaweze kutimiza ndoto zake na malengo aliyojiwekea.

Nawashukuru sana

View attachment 2075249
Amen 🙏!
 
Wakuu.

Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.

Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona

Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.

Asanteni sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.

Pole sana. Tunamshukuru Bwana Yesu kwa kukuponya
 
Amen Mungu Akubariki
 
Haha i thought kwenu you guys uanaume ni kufanya vile unataka, bila kujali wife atajisikiaje! Ndiyo maana nashangaa hayo ya kumuomba ruhusa wife yameanza lini maana mie siku zote najuaga wanaume wa kiafrika huwa mpo huru tu na hampangiwi lolote haijalishi mmeoa au hamjaoa, no?
Hao hawajitambui. Take it from me.

A woman is a boss!
 
TANZIA
Binti wa Dr Ibrick Pim ameuawa na kuzikwa kwa siri inasadikiwa na binti yake
Ajaonekana kwa muda mrefu ndio leo kaburi lake linafukuliwa
Marehemu aliwahi kufanya kazi KCMC kabla ya kustaafu
Huyu nurse alitoweka tokea December 2021 tarehe 24/12 ndipo binti yake Wendy alipokamatwa na Police leo ndio kaonyesha alipomzika mama yao kwenye shamba lake pacha yake Wendy nae hajulikani alipo maelezo ya Wendy ni alikwenda India
IMG-20220109-WA0686.jpg
IMG-20220109-WA0687.jpg
 
TANZIA
Binti wa Dr Ibrick Pim ameuawa na kuzikwa kwa siri inasadikiwa na binti yake
Ajaonekana kwa muda mrefu ndio leo kaburi lake linafukuliwa
Marehemu aliwahi kufanya kazi KCMC kabla ya kustaafu
Huyu nurse alitoweka tokea December 2021 tarehe 24/12 ndipo binti yake Wendy alipokamatwa na Police leo ndio kaonyesha alipomzika mama yao kwenye shamba lake pacha yake Wendy nae hajulikani alipo maelezo ya Wendy ni alikwenda IndiaView attachment 2075267View attachment 2075268
Sad story!!!
Kuna nini Tanzania ?
Hasa mwisho wa mwaka 2021?
Familia za wenye vijisent wanauna saaaana?
Tatizo ni la kiroho?
 
Back
Top Bottom