raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Hii nimetoka kuichek janaHehehehe don't judge i am a grown a** man but i am sorry i won't stop watching these till i am 64View attachment 2072016
Napenda animation movies
Hii nimetoka kuichek janaHehehehe don't judge i am a grown a** man but i am sorry i won't stop watching these till i am 64View attachment 2072016
Dar warudi lini?Ahaaa! Kesho nitakua mwanza asee ratiba ikiruhusu ntakuchek!
Tupange basi, nikupeleke hadi mwanza.. then mwanza hadi mbeya 😁😁😁Mkuu huna uzoefu wa kutoka mwanza to mbeya kupitia tabora???
Si haki sawa jamani au??Duuh yani unasubiri wife akubali![]()
Haha i thought kwenu you guys uanaume ni kufanya vile unataka, bila kujali wife atajisikiaje! Ndiyo maana nashangaa hayo ya kumuomba ruhusa wife yameanza lini maana mie siku zote najuaga wanaume wa kiafrika huwa mpo huru tu na hampangiwi lolote haijalishi mmeoa au hamjaoa, no?Si haki sawa jamani au??
Lazima wife atoe go ahead na huo ndio uanaume.
🤣🤣🤣🤣🤣!! Nipe ratiba!!Tupange basi, nikupeleke hadi mwanza.. then mwanza hadi mbeya 😁😁😁
Jumatano ijayo!Dar warudi lini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Sasa nimeelewa hahaha!!alivyokua anamquote yule jamaa nilikua nakerekakumbe ulikua wivu....naona sasa hivi namuona fresh tuu
Hahaaa.. nishaolewa✌️✌️!nikueleweshe mwenyewe
Shauri yakoOhooo!! Nishaharibu! Kumbe nilikuiba kweliNishalizua kwa huyu mzee! Ngoja nikalale mapema!
![]()



Wapi?Hii miguu kama nilishawahi kuiona sehemu!![]()
Huu mwaka hutoboiNapishana na watu dah

Lazima upite Lamadi kwa kweliLabda wakati mwingine tena my dear.
Kesho kituo kifuatacho ni Kwa daddy SYB

Hii miguu mbona ka naijua🤔
Siku zako zinahesabika. Unamchukua mjukuu wangu halafu unakuja kujitapa hapa? Real!? I am gonna knock you outOhooo!! Nishaharibu! Kumbe nilikuiba kweliNishalizua kwa huyu mzee! Ngoja nikalale mapema!
![]()




Hana heshima huyoSiku zako zinahesabika. Unamchukua mjukuu wangu halafu unakuja kujitapa hapa? Real!? I am gonna knock you out
View attachment 2075248

Wakuu.Uwiii !!!
View attachment 2072135
Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama
Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137
Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141



