Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Cheka chief hakuna namna hataa🤣🤣🤣 Nimejikuta nacheka kama mazuri,kumbe umesema unatafutaaa?!
🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Cheka chief hakuna namna hataa🤣🤣🤣 Nimejikuta nacheka kama mazuri,kumbe umesema unatafutaaa?!
🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Jambo la kheri kusikia hivyo wa kienyejiNamshukuru MUNGU sijambo kabisa wa kienyeji
Nimechelewa kuingia Jf shemeji yangu wa kienyeji.uchovu ulikuwa mwingi nikawahi kulalaShemeji yangu wa kienyeji location yangu kwa sasa nipo KISESA hapa
Naomba kujua/kufahmu location yako shemeji?
Unaona sasa Tatizo lako..nimekwambia kaa hapo hapo huelewi.😳😳
Eti kipindi hicho ulivyokuwa unatagiana Na smart..🤪🤪anaakili mbaya ni wivu ulikuwa unamsumbua 😁😁Mi hata sijamuelewa hakiii akikuelewesha nitag🚶🚶🚶🚶🚶
Kwakweli aise 🤪🤪Taratibu Ivoivo mtapeana vipaumbele mbele kwa mbele!
Hallelujah...Wakuu.
Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.
Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona
Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.
Asanteni sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.
Hebu Mungu Akatubariki sote na mwaka huu mpya ulioanza ukawe wa mibaraka tele; na kila mmoja wetu akaweze kutimiza ndoto zake na malengo aliyojiwekea.
Nawashukuru sana
View attachment 2075249
Makonzi yanakuhusuOya jamaa manzi yako kaagiza speed boat huku andaa hio million 30 kabisa😅😅😅
Eti kipindi hicho ulivyokuwa unatagiana Na smart..anaakili mbaya ni wivu ulikuwa unamsumbua
![]()
! Hayanaga muongozo!

Amina! Mungu ni mwema Naamini tutafika Salama salmini!Ufike salama mahondaw .. T 1990 ELY mida flank najua utakuwa nyegezi.. umpokee ajisikie home

Amen. Jambo la kushukuru Mungu, na ni furaha kwetu kuona afya ina imarika na kuwa na umojaWakuu.
Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.
Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona
Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.
Asanteni sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.
Hebu Mungu Akatubariki sote na mwaka huu mpya ulioanza ukawe wa mibaraka tele; na kila mmoja wetu akaweze kutimiza ndoto zake na malengo aliyojiwekea.
Nawashukuru sana
View attachment 2075249
ila umenikazia kukupeleka ee.. dah!Amina! Mungu ni mwema Naamini tutafika Salama salmini!![]()
😁😁😁 Umewahi kupanda basiii... Ally's nini hiyo.. saa tano. kasoro bwana T 1990 ELY kaniambia utamkuta anakusubiri, ndio utajua ukarimu wetu
Usiwaze utanirudisha ngoja leo nimbariki mkuu Ely !ila umenikazia kukupeleka ee.. dah!
Tuko pamoja!ujue mie nipo serious, unaleta utani
😊😊 T 1990 ELY mubaraka umekuangukia... haya acha nisubiri kukurudisha.. utanikuta nyegezi siku ya kurudiUsiwaze utanirudisha ngoja leo nimbariki mkuu Ely !