Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Nakukuta huko aseee 😎😎😎.. Rock kama rock city
Nakukuta huko aseee 😎😎😎.. Rock kama rock city
huoni kwa mbaaalii nembo ya kimwanza mwanzaaa 😁😁😁Chakorii upo wapi mamaa??? Mwanza au??
Hahahaaa... Sijaizoom vizuri!!!huoni kwa mbaaalii nembo ya kimwanza mwanzaaa 😁😁😁
Unaenda kula satoo.. naona bwana T 1990 ELY ana ugeni mzitoo sanaaaHahahaaa... Sijaizoom vizuri!!!
mahondaw kwani upo mwanza?Chakorii upo wapi mamaa??? Mwanza au??
Nikupeleke basi jamani mahondaw .. gari nzima uwe peke yako na dereva 😊😊😊😊Ahaaa! Kesho nitakua mwanza asee ratiba ikiruhusu ntakuchek!
Haha mkuu 9.8ms squared huu ugeni hata sina taarifa nao eti!!Unaenda kula satoo.. naona bwana T 1990 ELY ana ugeni mzitoo sanaaa

Una ugeni mzito sanaaa.. una nafasi za kutosha kupumzisha wageni wakoo 😎😎mahondaw kwani upo mwanza?
Yes mama nimeingia muda si mrefuChakorii upo wapi mamaa??? Mwanza au??
Siyo ratiba ikuruhusu naomba niwe mwenyeji wako ukifika mwanzaAhaaa! Kesho nitakua mwanza asee ratiba ikiruhusu ntakuchek!
Mkuu wangu T 1990 ELY usifanye hivyo.. wanahitaji ukarimu wetu wa kisukuma gang 😂😂😂
Haya ndio maneno sasaaaaa 😊😊😊😊 ajisikie yupo kwake kabisaaSiyo ratiba ikuruhusu naomba niwe mwenyeji wako ukifika mwanza
Ukifika kiwanja flani hivi, agiza chochote alafu waambie nitalipaaa 😊😊😊Yes mama nimeingia muda si mrefu
Eeeh! Hapa tunatoka saa mbili asubuhi, mwanza tunaingia saa tano usiku.. ni mwendo shwaaa 😁😁😁😁😂😂😂😂😂!!! Fanya hizo basiiii!!
Wewe si uko Dodoma bhana 😊😊Nakukuta huko aseee 😎😎😎.. Rock kama rock city
Hahahaha....we jamaa mchochezi sanaUna ugeni mzito sanaaa.. una nafasi za kutosha kupumzisha wageni wakoo![]()
Shemeji wa kienyejiYes mama nimeingia muda si mrefu
Mda huu nipo Dar es Salaam aseeee 😊😊😊😊Wewe si uko Dodoma bhana 😊😊