Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Shemeji wa kienyeji T 1990 ELY location yako Kwa sasa
ila zamani nilikua nakuangalia kiwivu wivu....sasa hivi naona nakuangalia kikawaidaHakika utakua umepata ! Hao watu Wapo vizuri mnoooo!!
Haha.. lakini ni wazee wa kaaazzzzzi wanachapa kazi kinoma wanachakarika sana! Na Wengi wao wanajua kupenda!Ila wamekaa kigumu mnoo...ulishawahi kumsikiliza msukuma akiongea Na ile lafudhi yao 😁😁😁
Sawaila zamani nilikua nakuangalia kiwivu wivu....sasa hivi naona nakuangalia kikawaida
Ila kwao mwanamke sio nafasi ya kwanza..ugumu ugumu🤣🤣labda umpate ambae amekaa mjini kidogo loh🤣🤣Haha.. lakini ni wazee wa kaaazzzzzi wanachapa kazi kinoma wanachakarika sana! Na Wengi wao wanajua kupenda!
Kwamba ulikuwa unamtamani😁😁ila zamani nilikua nakuangalia kiwivu wivu....sasa hivi naona nakuangalia kikawaida
Niko hapa kijana wa kisukuma,Kabisa yani..
Natafuta mtoto wa watu wa kisukuma nimzimikie haraka mnoooooo yan
Kaa hapo hapo usiondoke.okNiko hapa kijana wa kisukuma,
Karibu tuianze safari ya mapenzi,
Nikupende mpaka unionee wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu Ivoivo mtapeana vipaumbele mbele kwa mbele!Ila kwao mwanamke sio nafasi ya kwanza..ugumu ugumu🤣🤣labda umpate ambae amekaa mjini kidogo loh🤣🤣
Mi hata sijamuelewa hakiii akikuelewesha nitag🚶🚶🚶🚶🚶Kwamba ulikuwa unamtamani😁😁
Shemeji yangu wa kienyeji location yangu kwa sasa nipo KISESA hapaShemeji wa kienyeji T 1990 ELY location yako Kwa sasa
Namshukuru MUNGU sijambo kabisa wa kienyejiNi nzuri sana shemeji yangu wa kienyeji.hujambo
🤣🤣🤣 Nimejikuta nacheka kama mazuri,kumbe umesema unatafutaaa?!Kaa hapo hapo usiondoke.ok
alivyokua anamquote yule jamaa nilikua nakereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ulikua wivu....naona sasa hivi namuona fresh tuuKwamba ulikuwa unamtamani[emoji16][emoji16]
nikueleweshe mwenyeweMi hata sijamuelewa hakiii akikuelewesha nitag[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ohooo!! Nishaharibu! Kumbe nilikuiba kweli [emoji2305][emoji2305][emoji2305] Nishalizua kwa huyu mzee! Ngoja nikalale mapema! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377][emoji23]jana nilikuambiaje,nimetoroka,huyu mzee ni mkaliii sana
Iwe siri
[emoji3166][emoji3166][emoji3166]Fanya hata mbili Pm basi bibie..
Hii miguu kama nilishawahi kuiona sehemu! [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Duuh yani unasubiri wife akubali [emoji15][emoji15]Hapa hapa Africa. Najaribu kwenda AFCON kama wife atakubali. Uniombee