Moustache umekolea sukari.
hamnaaa..Moustache umekolea sukari.
hahahahahapajolawana kweli 😎😎😎
😂😂😂Una vituko sana 😂
Umeona sasa alivyo handsome?We kaka naomba namba zako, kuna kitu nikwambie 😂
Hebu tuone tena[emoji4]Jiranii weee siku hizi joto, baridi ni asbh tena kidogo.
Nilikuwa na kazi maalumu ndio maana... Nikuonyeshe tena nishatoa [emoji23]
Ipo wazi....baba mtumishi anampenda mama mtumishi
......Asante sana. [emoji41][emoji41]
Hebu weka pic moja matata, nifurahie weekend angu mie, [emoji3590][emoji3590][emoji3590]Nakuona nakuona
Weuweeeeeeh [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Satadei.. View attachment 2073036
[emoji1787][emoji1787]
Yaan wee acha tyuuh, watu handsome ukiiwaona tyuuh unashiba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kumbe kuna maHandsome humu na hawasemi wala kuweka picha tangu uzi umeanza..
Kweli tulikuwa tunakula mtori,sasa tumeanza kuzipata nyama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman cc wee mie mkubwa, sema hapa kazinu kwa muhindi, c unajua wahindi? [emoji23][emoji23][emoji23]Lazima kuwe na tofauti kati ya watoto wa shule na wakubwa.
Wapare unawajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada huyo kaka ni mzuri mno jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi nimestuka kama kweli ni wa kule kwetu,,,kwa hapa haki ya nani tumewapiga bao hadi wachagga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kaka naomba namba zako, kuna kitu nikwambie [emoji23]
Dimpoz mlongo [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 2073205