Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mwisho 2021
Huaminiki![]()
Huaminiki![]()
Mkuu hapo unatoka na kama M kubwa ngapi??
Jiwe gani hilo??
Nakusalimi bestyyyy.Nisalimie tu.
Kakufanyaje tena huyo pasua kichwa?
Mkuu hii ni chai au??

Kweli mkuu!hahaha acha kujiuliza uliza kaa kwa kutulia..
🖖Upo wapi?
Kuna stand kuu mbili za mabasiWana selfika Nani yuko mwanza mjini karibu na stand kuu ya mabasi????
Nyegezi!
Hivi kumbe Saint Anne ni mali safi hivi halafu ya kienyeji kabisa.Umemuona huyu kimbaombao?View attachment 2074721View attachment 2074722
Wewe upo wapi mkuu??
Ooh!!!kumbe nyegeziNyegezi!
Nipo mitaa Pasiansi naelekea BuzurugaWewe upo wapi mkuu??
Napishana na watu dahNyegezi!
Ahaaa! Kesho nitakua mwanza asee ratiba ikiruhusu ntakuchek!Nipo mitaa Pasiansi naelekea Buzuruga
🤣🤣🤣🤣🤣! !Napishana na watu dah