Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
HallelujahShemeji yangu wa kienyeji sitamuangusha kwa hilo
HallelujahShemeji yangu wa kienyeji sitamuangusha kwa hilo
Wacha basi🤣🤣Usijali T 1990 ELY kila kitu atakuweka safii, unaweza usirudi tena dar
Usiwaze mama siku nyingine... nashukuru pia nimepata mwenyeji T 1990 ELY atanipokea!Labda wakati mwingine tena my dear.
Kesho kitu kifuatacho ni Kwa daddy SYB
Ni nzuri sana shemeji yangu wa kienyeji.hujamboMambo vipi shemeji yangu kipenzi mzuri
Amechachuka..safi nimeipenda hiyoHahaha...wewe jamaa na Id yako mpya iliyochangamka![]()
Kijana Mpambe sana huyo anachochea balaa! Mwishowe mwenyeji wangu aahirishe bureee!!!Wacha basi🤣🤣
Akutenze vizuri asilete mambo Yake ya ukienyeji🤣🤣Usiwaze mama nashukuru pia nimepata mwenyeji T 1990 ELY atanipokea!
Hahaha... Naamini atanikarimu vizuri!!Akutenze vizuri asilete mambo Yake ya ukienyeji🤣🤣
Wa kienyeji wangu hawezi kughairi wala.Kijana Mpambe sana huyo anachochea balaa! Mwishowe mwenyeji wangu aahirishe bureee!!!
📌📌🔨 wasukuma hawajawahi kuniangusha katika hiloHahaha... Naamini atanikarimu vizuri!!
Hahahaaa... Hivi mwanza- mbeya kupitia tabora kwa basi ni siku ngapi njiani???Wa kienyeji wangu hawezi kughairi wala.
Halafu yeye anajifanya yuko chato Sijui Dodoma kumbe yuko malaika resort Sijui huko
Nawaaminia sana✌️✌️✌️✌️✌️📌📌🔨 wasukuma hawajawahi kuniangusha katika hilo
Hata sina uzoefu 💕Hahahaaa... Hivi mwanza- mbeya kupitia tabora kwa basi ni siku ngapi njiani???
😊😊 kwa T 1990 ELY sina mashaka nae mtakula uzuri wote wa mwanza atawakirimu sanaaaKwahiyo umetukabidhi Kwa huyu mtu wa kienyeji
Kabisa yani..Nawaaminia sana✌️✌️✌️✌️✌️
Basi Tumsifu Yesu Kristo😊😊 kwa T 1990 ELY sina mashaka nae mtakula uzuri wote wa mwanza atawakirimu sanaaa
Mkuu huna uzoefu wa kutoka mwanza to mbeya kupitia tabora???😊😊 kwa T 1990 ELY sina mashaka nae mtakula uzuri wote wa mwanza atawakirimu sanaaa
Hakika utakua umepata ! Hao watu Wapo vizuri mnoooo!!Kabisa yani..
Natafuta mtoto wa watu wa kisukuma nimzimikie haraka mnoooooo yan
Ila wamekaa kigumu mnoo...ulishawahi kumsikiliza msukuma akiongea Na ile lafudhi yao 😁😁😁Hakika utakua umepata ! Hao watu Wapo vizuri mnoooo!!
Mie tena ? Unapitia igombe.. au unapita Sikonge huyooo.. naijua hiyo njia..Mkuu huna uzoefu wa kutoka mwanza to mbeya kupitia tabora???