Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,193
- 183,008
Hahah... Kwa kuchochea tu hajambo!Hahahaha....we jamaa mchochezi sana
Hahah... Kwa kuchochea tu hajambo!Hahahaha....we jamaa mchochezi sana
Hahahaha.....haya bhanaMkuu wangu T 1990 ELY usifanye hivyo.. wanahitaji ukarimu wetu wa kisukuma gang [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa asee navopenda samaki sasa uuwiiii!!Unaenda kula satoo.. naona bwana T 1990 ELY ana ugeni mzitoo sanaaa
Hahaha.....haya bhanaHaya ndio maneno sasaaaaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ajisikie yupo kwake kabisaa
Nategemea leo kwanza Chakorii umpelekee sehemu tulivu sanaaa apate vitu vya kimwanza mwanzaaaHahahaha....we jamaa mchochezi sana
Naamini kabisa kila kitu utawafanyia wasijisikie rahaaaa mujarabuuuHahaha.....haya bhana
KaribuUkifika kiwanja flani hivi, agiza chochote alafu waambie nitalipaaa 😊😊😊
Huu uchochezi wake ebu utirie manani mkuu[emoji3]Hahah... Kwa kuchochea tu hajambo!
Safiii sana.. nakupa offer ya mahala hivi.. pale kula utakacho waambie nimekutumaaa 😊😊😊
Ahaa sawa!! Mwanza sehemu gani?? Naomba kesho tuonane jamani kama ratiba itaniruhusu!!Yes mama nimeingia muda si mrefu
Shemeji yangu wa kienyeji sitamuangusha kwa hiloNategemea leo kwanza Chakorii umpelekee sehemu tulivu sanaaa apate vitu vya kimwanza mwanzaaa
Asante sana mkuu nitakaribiaaaaa!
Niambie shemeji wa kienyejiShemeji wa kienyeji
Usijali T 1990 ELY kila kitu atakuweka safii, unaweza usirudi tena darHahah... Kwa kuchochea tu hajambo!
Mambo vipi shemeji yangu kipenzi mzuriNiambie shemeji wa kienyeji
Hahaha...wewe jamaa na Id yako mpya iliyochangamka[emoji3]Usijali T 1990 ELY kila kitu atakuweka safii, unaweza usirudi tena dar
Akhsante sana kushukuruAsante sana mkuu nitakaribiaaaaa!
Shukrani sana 🙏Akhsante sana kushukuru
Ukifika jisikie upo nyumbani
Labda wakati mwingine tena my dear.Ahaa sawa!! Mwanza sehemu gani?? Naomba kesho tuonane jamani kama ratiba itaniruhusu!!
Kwahiyo umetukabidhi Kwa huyu mtu wa kienyejiNaamini kabisa kila kitu utawafanyia wasijisikie rahaaaa mujarabuuu