Kwa kweli nimeelewa japo kwa uwezo wa ufahamu wangu.Sijui utakuwa umepata jibu?
Mathayo 21:28-31
28. Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
29. Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
30. Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Pamoja mkuu.. Wazo ( jaribu) au (temptation).. vinakuja, ila tunatakiwa ku filter kipi cha ku ki process na kipi cha kuachana nacho.. Mfano mwepesi, hapa naweza pata wazo la kwenda fanya masterbation kwa ku imagine labda dada wa mtaani kwangu.. nakuwa na maamuzi mawili niendelee na hilo wazi hadi nikafanye au niachane na ilo wazi niaifanye.. nikiachana nalo nipo safe ( sina kosa), ila nikaamue endelea nalo hadi kwenda kujilipua hapo kunakuwa na issue 😂😂😂😂😂Ahaaa, nimeelewa.
Mimeuliza hivyo maana kama tungekuwa tunahimizwa kwa mawazo nadhani tungekuwa sehemu mbaya mno kwa sababu tunayo waza yalio mabaya bila ya kutenda ni mengi sana.
Kule had mwez March bhana mlongo. [emoji23][emoji23][emoji23]Uendage bana,tunalima,yakiota tunaweka mbolea,tunapalilia na kuweka mbolea tena,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiiiihHahahaa...msomali kafia kwenye fiat[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Nilicheka sana
Nazijua kwetu zipo sana.unazijua eeh.. kumbe [emoji3526][emoji3526]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa c ungemalizia yote full.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rock city au? [emoji7][emoji7][emoji7]
Ndo seat ya mbele kabisa dea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2070882
Hello Dom
Jiko la gas limependeza mno. [emoji7][emoji7][emoji7]
Nimeona kipusa tyuuh[emoji7][emoji7][emoji7]
Zinamtukuza Mungu na pia zinakunufaisha na wewe.Eti samahani kidogo hizi nyimbo haswa za dini au injili zipo kwaajili ya kutubu rudisha sisi ama kumburudisha Mungu, maana tunazijudge kwa vionjo vyetu?
Nimekumiss,Mmmmmmmmh