Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Tobaa[emoji38]
Mungu wangu[emoji2356]
Mungu wangu[emoji2356]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaa[emoji38]
Mungu wangu[emoji2356]View attachment 2059674
Ona kama hii comment ,mmeambizana mnilime na dislike zenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakimpaga kitu cha kikaburu drostdy hof nishtue nimnyang'anye nikaitupe mwenyewe 🤣🤣Ailete chap niiombee😂
Hahaha nina Dawa nzuri kilingenuView attachment 2059607
Hivi jamani mnawezaje kutunza fedha?? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Maana mimi nikizipata huwa naskia harufu ya mishkaki na kuku sekela inanukia kila sehemu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Pole😆
Leo nimechezea dislikes zako hadi najihisi kizunguzungu.
Wazo zuri [emoji120]Mimi naona angetafutwa mhusika au mtu anayefahamiana naye ..iwekwe namba hapa watu watatuma huko na kusiwepo na haja ya kutangazana.
[emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji122][emoji122]
Pole.Vipi hali
Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.
Saint Anne.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sasa hii naipeleka wapi?Pole
Ntakununulia Klymax.
Hii ni non-alcoholic wine
Nipo ostadhSaint Anne.
Upo best
Doctor umepona kweli? Mbona gari inatembelea rim badala ya tyres? 🙄
Ona sasa[emoji1787]Wakimpaga kitu cha kikaburu drostdy hof nishtue nimnyang'anye nikaitupe mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
[emoji847]Binafsi naona tamu [emoji846][emoji846]
Marahabaa hujambo.Nipo ostadh
Shkamoo.
Heri ya christmas kwako.
Sasa wewe badala unialike kiumeni hapo temeke umeniacha tu kweli Moud.Marahabaa hujambo.
Nilisubiri mwaliko wa Krismass nikaona umenisahau.
Nakukumbusha mwaka mpya usiniache.[emoji23]