Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha uniongezee au sio! Poapoa ntakutafuta Mkuu!
Mshono mwingine huu hapa boss lady [emoji16][emoji16][emoji2099]

Screenshot_20211226-144059_Drive.jpg
 
Yani ndo nawaza hapa Kuna mmoja aliniharibia nguo yangu sina hamu nae yule fundi!! Kitambaa kilikua kizuriii afu cha bei nikamuhama mpaka leo hanisalimii haha!
Usiombe ukutane na fundi Jose au fundi jumaa!utatamani kulia!ilinitokea hyo jioni harusi!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]yaani sisahau nilitoa chozii!
 
Back
Top Bottom