Nipotee!?Asante Moud.
Nitakuja,usipotee sasa hewani.
2021 uishe tu[emoji846]Nipotee!?
Njoo, jiandae kwa shangwe la mwaka mpya[emoji23][emoji23]
Si unajua 2021 ulikuwa mchungu
Lazima tufike mahali tuaminiane.Saasawa mama mtumishi.
Wadau wanashauri huyo jamaa asiwe na tabia kama za yule kijana anavaa shati la mikono mirefu la rangi ya majani majani.
Ulimpoteza mzazi[emoji24],na mwenzetu naye ameshapoteza[emoji24].2021 uishe tu[emoji846]
Acha tu mwaka huu natamani hata ningeufuta kwenye list ya miaka.Ulimpoteza mzazi[emoji24],na mwenzetu naye ameshapoteza[emoji24].
Tulipoteza viongozi [emoji24].
Hatujui Mwenyezi Mungu ametuandalia nini mwaka ujuo.[emoji15]
Aiseeee,namna kale katoto kamelala pale ☺️
Huwezi kuufuta maana umeshakuandikia historiaAcha tu mwaka huu natamani hata ningeufuta kwenye list ya miaka.
Tujiandae kuupokea mwaka mpya[emoji847][emoji847][emoji7]
Wali na supu[emoji38]Pamoja na changamoto zote zinazotukabili,tusisahau kula[emoji120]View attachment 2059842
History mbaya[emoji17].Huwezi kuufuta maana umeshakuandikia historia
Ni juice bwana[emoji1787]Wali na supu[emoji38]
Congratulations mkuu. Jr. yuko vizuri...as for me I need a son so bad [emoji1545][emoji1545]2021 was [emoji817][emoji817][emoji817]View attachment 2059994
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mmoja au mapachaCongratulations mkuu. Jr. yuko vizuri...as for me I need a son so bad [emoji1545][emoji1545]
Hapana baba mtumishi hutakiwi kugusa hivyo vitu vya waliokengeuka, vitakutolea upako.Wakimpaga kitu cha kikaburu drostdy hof nishtue nimnyang'anye nikaitupe mwenyewe 🤣🤣
Nipo hapa Temboni stand kabisaa naisubiriUko wapi nikuletee?
Hakika Lenie una akili sana.Hapana baba mtumishi hutakiwi kugusa hivyo vitu vya waliokengeuka, vitakutolea upako.
Akipata hyo itabidi anipe nione naifanyaje[emoji23][emoji23]
Sawa,Naleta[emoji38]Nipo hapa Temboni stand kabisaa naisubiri