Badiguy
Senior Member
- Nov 9, 2021
- 188
- 560
Pole sana.Vipi hali
Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.