Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211227_111829.jpg
 
Vipi hali

Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo

Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]

Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu

Location MBINGA lusonga.
Inna lillahi..kumuombea dua na Awe na kauli thabeet!
 
Back
Top Bottom