Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
If only....🥴🥴Watu na miili yenu
Unisapoti sasa kama tulivyoongeaAmen to that Baba Mtumishi[emoji4]
Kumbe huyo ni wewe?If only....[emoji3061][emoji3061]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]pole sanaVipi hali
Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.
Kwani hicho kitufye kiko siku hizi?[emoji23][emoji23][emoji13][emoji23]
Kuna mtu nilijua tu atanilima dislikes[emoji1787]View attachment 2059400View attachment 2059402
Pep Mungu anakuona
Kipo kwa wasiotumia jf App..yaani kwa wale wa Chrome na browser.Kwani hicho kitufye kiko siku hizi?
Pole sana.Vipi hali
Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.
Akhsante sana nimeona mkuuCheck ujumbe kwenye mpesa
innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Nimeona hizo dislike nimechekaa, mwambie baba mtumishi tulikua tunatania tu😂Unisapoti sasa kama tulivyoongea
Pole sana dear kwa kuondokewa na Baba, Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu🙏Vipi hali
Ahsanteni[emoji120],baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii[emoji24][emoji24][emoji120]
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.
Bana sms tu ingetosha hayo ndio mambo yangu mzee
Amenilima za kutosha[emoji1787]Nimeona hizo dislike nimechekaa, mwambie baba mtumishi tulikua tunatania tu[emoji23]
Nimepata kiu ya ghafla😋Amenilima za kutosha[emoji1787]
Unisaidie sasa kuomba ruhusa ya kunywa...tayari nina kinywaji mkononi.View attachment 2059446
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimepata kiu ya ghafla[emoji39]
Kunywa tu kama kitu unayo mkononi, akiuliza tutamsingizia shetani ataelewa tu