Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,395
- 191,478
Hii ndio yenyewe mzee
Hii ndio yenyewe mzee
Hio hamna kitu humoAmenilima za kutosha[emoji1787]
Unisaidie sasa kuomba ruhusa ya kunywa...tayari nina kinywaji mkononi.View attachment 2059446
Extrovert kupata kinywaji ni jambo moja,kukifungua na kukinywa ni jambo jingine.
😁😁😁 😬😬 ni kujiramba tu midomoHii ndio yenyewe mzee
Unasema hamna kitu wakati hata kuifungua nimeshindwa,natafuta wa kumtupia huu mzigo😂Hio hamna kitu humo
Kama kawaida yako wa kishua😁😁😁 😬😬 ni kujiramba tu midomo
Tayari nina kinywaji mkononi baba mtumishi,Ewaaa, Lenie una special seat mbinguni
Kinaitwaje hiko kinywaji?Tayari nina kinywaji mkononi baba mtumishi,
Kilichobaki ni ruhusa yako tu[emoji2960]
[emoji1787]Kinaitwaje hiko kinywaji?
Nisiwashe moto bure kumbe kinywaji chenyewe ni hiki apa
View attachment 2059471
😋😋😋😋Kama kawaida yako wa kishua
Nigawie basi nyama hizo wa kishua😋😋😋😋
Aisee daah[emoji1787]
Hiki hapa baba,sitanii.
Jana boxing day,katika kufungua boss nikapewa[emoji2960].
Ruhusa yako itanifanya nifungue ama nigawe.View attachment 2059472
Kuna dislike kumbe?!![emoji23][emoji23][emoji13][emoji23]
Kuna mtu nilijua tu atanilima dislikes[emoji1787]View attachment 2059400View attachment 2059402
Pep Mungu anakuona
😬😬😬 nyama imeisha yoteeee🙈🙈🙈🙈Nigawie basi nyama hizo wa kishua
Kweli baba hutaki kabisa nionje??[emoji19]Aisee daah
Kweli walimwengu hawanitakii mema na pisi yangu [emoji1787][emoji1787]
Ina alcohol ya 8% hiyo. Mkabidhi mtumishi mwenzetu Lenie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanywaji hawana kelele dogooo
Wee[emoji1787][emoji51][emoji51][emoji51] nyama imeisha yoteeee[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Zipo[emoji1787]Kuna dislike kumbe?!!
haijabaki hata kiduchu, maana taaamuu kweli kweliWee[emoji1787]
Na wewe ni mchoyo kumbe!