T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Ninunulie nyingine basi wakishua🤗haijabaki hata kiduchu, maana taaamuu kweli kweli
😬😬😬 Mchinjaji hayupo hadi mwakani, labda njoo cate hotel asa hivi upate kahawaNinunulie nyingine basi wakishua🤗
Dah wakishua unazingua😒😬😬😬 Mchinjaji hayupo hadi mwakani, labda njoo cate hotel asa hivi upate kahawa
Ewaaa, si ndo maana nakupendaga sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nimeshindwa kabisa kufungua hiyo pombe,,umekuwa mtihani mgumu mno kwangu..hadi nimetafuta mtu wa kumgawia.
Sasa mbona haunipi jibu la ruhusa[emoji19]Ewaaa, si ndo maana nakupendaga sasa
haaa kuna mvua huko dar es salaam 🙄🙄🙄Dah wakishua unazingua😒
Mimi cate nakujaje na mvua hii,,nauli hadi cate si ni kuku mzima huyo nakula🤗
😆Mama mtumishi hanywi pombe tafadhali
Uko wapi nikuletee?Ailete chap niiombee[emoji23]
Wee!hahahaZipo[emoji1787]
Ila siyo kwenye App
Bahati yako situmii browser![emoji38]
Leo nimechezea dislikes zako hadi najihisi kizunguzungu.
Pole sana mawardat, nimechelewa kuiona hii post!innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
امين ثم امين. [emoji2969][emoji2969][emoji2969]اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك
Mimi huwa natumia chrome kuangalia notifications then narudi kwenye App.Wee!hahaha
Khaa[emoji2356]Bahati yako situmii browser!
Sarafina[emoji173]