cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,313
- 187,969
Ndo nasubir hapa yaan cc. [emoji23][emoji23][emoji23]Subiri mwalimu wako anakuletea
Ndo nasubir hapa yaan cc. [emoji23][emoji23][emoji23]Subiri mwalimu wako anakuletea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadada Mnaovaa vigodoro mnaboa mkiingia washroom.
Asante sana. 😔😔😔Pole sana .
nenda sasa hivi menya kitunguu thomu halafu kiponde ponde upate urojo wa wastani kisha paka kuzunguka jipu lote {uvimbe} zungusha paka vizuri itavuta kidogo ila hakuna shida, acha ikauke hapo kama gundi..Ni jipu, sema la tako huwezi lipiga picha, unaweza kuta tako limepaukaaa 😂😂😂😂 hapa nachart kidogo huku kujipoza maumivu.. hadi nipitiwe na usingiz.. nilikishika hivi bado bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipu kama haliko kwapani basi kwenye mbususu likikosea njia basi kwenye makende au kwenye mataqo kabisa yani jipu kutokea sehemu ya wazi ni nadra sana
Asante sana mkuu.nenda sasa hivi menya kitunguu thomu halafu kiponde ponde upate urojo wa wastani kisha paka kuzunguka jipu lote {uvimbe} zungusha paka vizuri itavuta kidogo ila hakuna shida, acha ikauke hapo kama gundi..
kesho asubuhi utaleta mrejesho hapa usisahau kunitag..
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo avatar ni wewe?Sio kupatwa perse..wengine vichwa vizito hayo mambo ni talent
Subiri mwalimu wako anakuletea
Ooh okNiliacha kutumia kilevi na hapa hakuna fresh juice wala mocktail.
Amen🙏Tumwike Bwana fedheha zetu.. hashindwi kutufanyia jambo jipya
Pole kijana mwema [emoji38][emoji38][emoji38]Ni jipu, sema la tako huwezi lipiga picha, unaweza kuta tako limepaukaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nachart kidogo huku kujipoza maumivu.. hadi nipitiwe na usingiz.. nilikishika hivi bado bado
Mkuu unataka kumnywesha pombe mtt wa watu usiku huu ili iweje😅View attachment 2055024Njoo uonje hii😅
Bia tamu[emoji482]Weee usimdanganye mwenzio
Mwambie ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23]NishalewaSubiri mwalimu wako anakuletea
Nataka apendeze kidogo😅Mkuu unataka kumnywesha pombe mtt wa watu usiku huu ili iweje😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani unaelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora hata huo ugali upatikane
Utajua hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naanza safari kesho jioni
Kimashuku inanihusu
poa mkuu usikose kufanya hivyo kabla hujalala..Asante sana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Nakuletea ulipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv una nn wee, hapa nasubir lect alete Jack Daniel's na Guinness nisuuze macho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka mwenzio aanze kuimba mapambio usiku mzima?nenda sasa hivi menya kitunguu thomu halafu kiponde ponde upate urojo wa wastani kisha paka kuzunguka jipu lote {uvimbe} zungusha paka vizuri itavuta kidogo ila hakuna shida, acha ikauke hapo kama gundi..
kesho asubuhi utaleta mrejesho hapa usisahau kunitag..