Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Nimeshaondoka mkuu
Uko Bagamoyo cute? I'm here too
Uko Bagamoyo cute? I'm here too
Naona siku hizi umeanza mazoezi ya kutumia emoji wakati mimi ndio napambana kuacha.
Naona siku hizi umeanza mazoezi ya kutumia emoji wakati mimi ndio napambana kuacha.
Daaah. Hivi from Dom to Mbeya mkuu naweza kuweka kiwese Cha kama bei gani go and return?Mbeya boss. Pazuri kweli!
Bahati mbaya kuna watoto bado hawajalala humu nilitaka niseme neno moja upate kupona 🙈🤸🤸tunajua na tunawaoneaga wivu venye mnafaidi aise
Nimjuavyo yule mtoto wa Kimeru lazima atakuja kukiwasha hapa Bora hata usingemwita 😜😜😜🏃🏃🏃
Niombee niwe Chibonge kweli 😂😂😂Chibongee![]()
Hata najua basi 😏😏Daaah. Hivi from Dom to Mbeya mkuu naweza kuweka kiwese Cha kama bei gani go and return?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Dah
Usiku ni changamoto kutoka,wengine tunaishi na wazazi na tunatreatiwa kama watoto.
Saa 12 kamili uwepo nyumbani![]()









Ungeteremka hapo chini Songea ungefaidi wwe hadi bas.Yani![]()
Ngoja niangalie kama majirani zenu watanifaa zaidi.
Nyie mnajipenda wenyewe tu....hamkutaka na mie nile bata kwenu
![]()




Nipe maelezo yaliyonyooka🙄...DarSlum haiendi popote 😁Ungeteremka hapo chini Songea ungefaidi wwe hadi bas.![]()
Wakati mwingine inatokea tu pale ambapo unataka ushushwe sehemu ambayo gari haitakiwi kushusha abiria. Mimi kuna siku niliwahi waomba Rungwe wanishushe Eso badala ya kwenda hadi Stendi Kuu wakaniambia pale hawaruhusiwi kushusha labda nikae mlangoni then watapunguza tu speed kidogo ili nishuke.Mbinu yao ya kuruka ni kweli kama walivyoeleza lakini sijui kwanini nimejikuta nacheka tu ,kila mtu sasa anatoa hiyo mbinu na wakati jamaa ashadondoka.
Njia nzuri ni kusubiri tu gari isimame,mambo ya kuruka haya watu watakuja kutegua nyoga.
Ila yote kwa yote jamaa aliyetoa ule uzi ni bonge la comedian aloo![]()
Haha mimi nilicheka pale watu walivyokuwa wanamshauri akiruka anatakiwa atangulize mguu wa kushoto then afanye kama anakimbia hivi ndiyo hataanguka. Basi wengine wakawa wanasema hizo ni theory tu jaribu uone.
Ila comment iliyonichekesha kuliko zote jamaa mmoja alikuja akasema "ukikosea kuruka ni either ulambe lami au utembee speed ya subaru". Aiseee nilicheka hapo kwenye speed ya subaru maana hiko kitu kiliwahi nitokea.






