NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
kweli leo wamekupakulia, ungewaambia wakigawe mara 3 🙂
kweli leo wamekupakulia, ungewaambia wakigawe mara 3 🙂
😆😆😆Daah umenikumbusha life la Makete. Ukiwa home ni kuota moto na kuvaa masweta, bosholi na soksi. Shikamoo Makete
Inapendeza sana. Sema mazingira yetu sasa....Napendaga nyumba yenye fireplace mimi.
Sinimekula na dogo 🤓kweli leo wamekupakulia, ungewaambia wakigawe mara 3 🙂
Ila akili zako unazijua mwenyeweBaridi njema mgeni wetu. Tusamehe bana, tumekuangusha kwenye suala la ukarimu this time. Tatizo wenyeji tulihamia Bagamoyo kidogo; next time, utasimulia ukarimu wetu


Inabidi kuweka lile artificial la uongouongo. Bora mradi moyo uridhike 🙂🙂Inapendeza sana. Sema mazingira yetu sasa....
Mf. Joto la Dar..mtu utaishia kujiona lofa 😁
Umefikia sehemu ganiNjombe wameanza vizuriView attachment 2050176
Haha mimi nilicheka pale watu walivyokuwa wanamshauri akiruka anatakiwa atangulize mguu wa kushoto then afanye kama anakimbia hivi ndiyo hataanguka. Basi wengine wakawa wanasema hizo ni theory tu jaribu uone.Hii part ilinichekesha sana
"na yule jamaa angu anaenijuaa akasema ww umepitia adi JKT acha uoga embu drop, bhas na mm nlvyotajiwa kuwa nlwah pita JKT nikajaa nkasema kuruka tu mbona jambo dogo hilo"
Naona unatuwakilisha vyemakurlzawa
Tayari nimesogea hapa.. ndio dawa yao kwa sie wenye maumbo ya kitoto una wahi mapema kipindi mabaunsa hawajatoka kwao kulala
View attachment 2050158


Sasa hivi kila mtu amegeuka mtoa ushauri wa kurukaHaha mimi nilicheka pale watu walivyokuwa wanamshauri akiruka anatakiwa atangulize mguu wa kushoto then afanye kama anakimbia hivi ndiyo hataanguka. Basi wengine wakawa wanasema hizo ni theory tu jaribu uone.
Ila comment iliyonichekesha kuliko zote jamaa mmoja alikuja akasema "ukikosea kuruka ni either ulambe lami au utembee speed ya subaru". Aiseee nilicheka hapo kwenye speed ya subaru maana hiko kitu kiliwahi nitokea.
.




Ila akili zako unazijua mwenyewe![]()





Baridi njema mgeni wetu. Tusamehe bana, tumekuangusha kwenye suala la ukarimu this time. Tatizo wenyeji tulihamia Bagamoyo kidogo; next time, utasimulia ukarimu wetu
Ni kweli technique nzuri ni kutanguliza mguu wa kushoto then ufanye kama unakimbia hivi utasimama tu mwenyewe. Ila ukiruka gari ikiwa speed sana nawe lazima utakimbia kwa speed sana na utachelewa kusimama.Sasa hivi kila mtu amegeuka mtoa ushauri wa kuruka.
Eti spidi ya subaru
Yaani huu uzi nilicheka nusu nizimie.
Enhee tuhadithie kidogo ulovyoenda kwa spidi ya subaru.
HM...Umefikia sehemu gani
Mbinu yao ya kuruka ni kweli kama walivyoeleza lakini sijui kwanini nimejikuta nacheka tu ,kila mtu sasa anatoa hiyo mbinu na wakati jamaa ashadondoka.Ni kweli technique nzuri ni kutanguliza mguu wa kushoto then ufanye kama unakimbia hivi utasimama tu mwenyewe. Ila ukiruka gari ikiwa speed sana nawe lazima utakimbia kwa speed sana na utachelewa kusimama.
Mimi nashukuru Mungu sijawahi dondoka ila niliwahi ruka gari ikiwa speed sana. Kwahiyo nikajikuta nakimbia speed ya subaru kwa muda mrefu bila Breki kama vile nateremka mlima ndiyo nikaja nikapata balance nikasimama.


Njia nzuri ni kusubiri tu gari isimame,mambo ya kuruka haya watu watakuja kutegua nyoga.






Hata mimi comment yake imenichekesha,ni vile tu nimeamua kukausha bila kucheka.