Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,908
- 31,724
Mambo ya church...
Kwani nchi inaendeleaje? [emoji23] Niliikumbuka baada ya leo kanisani kuimba wimbo wa TaifaView attachment 2049803
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah
Mambo ya church...
Kwani nchi inaendeleaje? [emoji23] Niliikumbuka baada ya leo kanisani kuimba wimbo wa TaifaView attachment 2049803
Sana[emoji39][emoji39][emoji39]
Shukrani[emoji120][emoji120]Una rangi nzuri[emoji122][emoji122][emoji122]
Isije kuwa huyo someone ndiyo Mimi Mwenyewe 😜🙈🏃🏃"dada mzuri" [emoji28]umenikumbusha someone
Mwenye macho yake 😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah
😃😃 tutaenda milimani kutafuta loshoroo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uchoyo bhana dimpoz unigawie,
Kweli wii ntakua chuga, labda ratiba ibadilike,
Tatzo unakuta ratiba inakua nije chugaa mara ghafla inabadilika nibaki dar, [emoji23][emoji23][emoji23] c unajua tena vileeee.
Ila this time hata ikibadilka ntalazimisha niwe chuga, ili tukeshe kupiga ulabu usiku wa tar 24.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na nyinyi wanawake huwa mnajua Wanaume tunafaidi?😀[emoji9]kuna mtu anafaidi
Hahaha none of the above... Ila sielewagi kwanini huku duniani nafananishwa na wahaya ' ila ni watani tu.Hii miguu mizuri ya kihaya hii...kama sio wachagga
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
[emoji23]tunajua na tunawaoneaga wivu venye mnafaidi aiseKumbe na nyinyi wanawake huwa mnajua Wanaume tunafaidi?[emoji3]
Ila mwenyewe namwonea wivu anayefaidi hapo kwa kweli [emoji85][emoji1732][emoji1732]
Hahaha yani una miguuu saafi saana.Hahaha none of the above... Ila sielewagi kwanini huku duniani nafananishwa na wahaya ' ila ni watani tu.
MmmmmmmmmmhHahaha none of the above... Ila sielewagi kwanini huku duniani nafananishwa na wahaya ' ila ni watani tu.
Yatakushinda 😂Mmmmmmmmmmh
🤩
Yatanishinda mara ngapi sasa wakati yashanishinda.....Yatakushinda [emoji23]
Sasa si utulie kama yameshakushinda? 😂Yatanishinda mara ngapi sasa wakati yashanishinda.....
Habari za siku nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaah hapo sasa, hahahah loshoroo wee unazipenda sana wiii?[emoji2][emoji2] tutaenda milimani kutafuta loshoroo.
Chibongee [emoji23][emoji23][emoji23]