Dada mzuri 😂 😂Ngoja nivae nguo kwanza niko uchi wa mnyama hapa
[emoji23][emoji23]ujue nami nikastuka nikahisi kama tuko nae kuleDada mzuri [emoji23] [emoji23]
Dada wa husbae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilicheka ujue 'like someone...
Niazime jicho jirani 😂 nina shida nalo next weekendJirani mbona watusingizia tena
Nawe uniazime guu na dimpoz nikamringishie nalo mtuNiazime jicho jirani [emoji23] nina shida nalo next weekend
Me nikammiss ghafla na ongea yake🤣[emoji23][emoji23]ujue nami nikastuka nikahisi kama tuko nae kule
Hizo champagne hazishtui [emoji23] mambo yote bia 'like yours.
Tupia basi lile jicho letu kesho nikaombee mkopo NMB
😂😂😂 umevipataNawe uniazime guu na dimpoz nikamringishie nalo mtu
MmmmmmmhHahah unajua haufai wewe?
Bado nakumbuka ulichoniambia ' Una vituko sana kijana
[emoji23][emoji23]hata mi nimmemiss kwakweli, ile sauti yake ya upole nikaihisiMe nikammiss ghafla na ongea yake[emoji1787]
Kaanzishe uchokozi basi..
Ananifurahishaga sana 😍[emoji23][emoji23]hata mi nimmemiss kwakweli, ile sauti yake ya upole nikaihisi
Hebu ngoja tukamchokoze 'kaka mzurii'
Njombe wameanza vizuri [emoji846]View attachment 2050176
hahahaha naitamani hasa.hebu fanya atumeVipi mkuu wewe huitaki?
Napendaga nyumba yenye fireplace mimi.Njombe wameanza vizuri 🙂View attachment 2050176