cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji7][emoji7][emoji7]Gud night!!!View attachment 2050327
[emoji7][emoji7][emoji7]Gud night!!!View attachment 2050327
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaagNi kweli technique nzuri ni kutanguliza mguu wa kushoto then ufanye kama unakimbia hivi utasimama tu mwenyewe. Ila ukiruka gari ikiwa speed sana nawe lazima utakimbia kwa speed sana na utachelewa kusimama.
Mimi nashukuru Mungu sijawahi dondoka ila niliwahi ruka gari ikiwa speed sana. Kwahiyo nikajikuta nakimbia speed ya subaru kwa muda mrefu bila Breki kama vile nateremka mlima ndiyo nikaja nikapata balance nikasimama.
Unaota moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa kweli kabisa [emoji1787][emoji1787]Sasa jana wanyaki si tulikuwa Bagamoyo jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini unataka kuacha [emoji1][emoji1]Naona siku hizi umeanza mazoezi ya kutumia emoji wakati mimi ndio napambana kuacha.
Unatumia Gari gani mkuuDaaah. Hivi from Dom to Mbeya mkuu naweza kuweka kiwese Cha kama bei gani go and return?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe chibonge ili ugundue nn? Huyo bibi mda wote wa kujipimia anao? Si atakinai? Au tumbo linafunika mapaja bibi inabidi mnara afuate kwa nyuma sasa si utumwa huu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niombee niwe Chibonge kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaota moto [emoji2]
Tusubiri atuambie anatumia gari gani [emoji846][emoji846]Hata najua basi [emoji57][emoji57]
Sie tulikuja na bus...then private imetuacha Makambako so..sijui safari nzima inaweza kuwa bei gani. Labda nikuulizie.....ila kabla ya hapo wenyeji kina Heaven Sent Karma Saint Anne na billdrago might be able to help!
Songea tatizo miundo mbinu yake mibovu, hapo mjini enyewe center unaweza sema kijijini tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nipe maelezo yaliyonyooka[emoji849]...DarSlum haiendi popote [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee pia si umepita JKT?Wakati mwingine inatokea tu pale ambapo unataka ushushwe sehemu ambayo gari haitakiwi kushusha abiria. Mimi kuna siku niliwahi waomba Rungwe wanishushe Eso badala ya kwenda hadi Stendi Kuu wakaniambia pale hawaruhusiwi kushusha labda nikae mlangoni then watapunguza tu speed kidogo ili nishuke.
Na kweli walivyofika wakapunguza speed huyo nikaruka zangu wakatambaa uzuri sikuwa na mizigo nilikuwa na begi moja tu la mgongoni ndiyo maana hata nao walikubali vinginevyo ukiwa na mizigo hawakubali kukushusha sehemu kama hiyo maana hekaheka za kushusha mizigo yako inabidi gari isimame kabisa.
Sasa kwenye hizi daladala za mjini ndiyo kabisa imekuwa kama mazoea abiria kuomba kushushwa sehemu zisizoruhusiwa tena unaweza kuta ndiyo wengi kuliko hata wanaoshukia kwenye vituo rasmi. Watu tumeruka hadi kwenye treni ile ya mjini Gerezani-Pugu ambayo kuteleza na kukanyagwa mguu ni dakika sifuri sembuse magari.
Dah kweliUkitaka kumaliza show within 30seconds, hizi ndio pressure points za kumaliza shughuli. Hakikisha your blow is fatal, piga pigo kwa speed ya hatari na kwa nguvu zako zote. Tumia element of surprise, Opponent wako asijue kilichopo akili mwako.View attachment 2050231
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Everglow (Nomino) - Mwako usioisha, nuru ya milele, taa isiyozimika, joto lisilo na mwisho [emoji91][emoji91][emoji91]Gud night!!!View attachment 2050327
Hebu sema na moyo wangu utulie tasavali[emoji4]Bahati mbaya kuna watoto bado hawajalala humu nilitaka niseme neno moja upate kupona [emoji85][emoji1732][emoji1732]
Hapa ndio bambalanga???kurlzawa
Tayari nimesogea hapa.. ndio dawa yao kwa sie wenye maumbo ya kitoto una wahi mapema kipindi mabaunsa hawajatoka kwao kulala
View attachment 2050158
Good night mrembo....hii miguu imenikumbusha kituGud night!!!View attachment 2050327