Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Dah[emoji38]Ndiyo zenu nyie hata Anne nilikuwa mbeya mfikamo nikwambie akuje akanipiga sound au mnaogoapa?
Usiku ni changamoto kutoka,wengine tunaishi na wazazi na tunatreatiwa kama watoto.
Saa 12 kamili uwepo nyumbani[emoji846]