Kama wewe tu unavyofuta haraka mkuuJamani amefuta fastaaa!! Khaahh!
Irudie ile ya jana basi
Kama wewe tu unavyofuta haraka mkuuJamani amefuta fastaaa!! Khaahh!
Acha tu..Wacha tutege Vocha hapa[emoji28]Mambo magumu mtaani!vikoba,michango ya harusi,sare za shule ,ada na sikukuu juu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifanyie wepesi pm basi ameifuta jamani!Akirudia nitag
Nimecheka kama lofaa![emoji1][emoji1][emoji2]Nimechoka kutumia hii I'd
Ipi hiyo??? Anza na hiyo ya Rey nakurushia ya jana! Nielekeze ni ipi 🤣😂😂Kama wewe tu unavyofuta haraka mkuu
Irudie ile ya jana basi
Watu wamechoka vibaya...Mwenyewe nilisoma nikacheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Muombe reymage aniruhusu kufanya hivyo kwanza akitoa ruhusa fungua pm fasta mzigo unakufikiaNifanyie wepesi pm basi ameifuta jamani!
Ile ulirusha umakata kichwa kuanzia kwenye machooIpi hiyo??? Anza na hiyo ya Rey nakurushia ya jana! Nielekeze ni ipi 🤣😂😂
Nah!fresh juice no added sugar.Tuendelee kunywa maji hahahaa!
Fresh juice sio ya kila mtu...too much sugar[emoji16][emoji16][emoji16]
Mie simo babu[emoji41]. Mjukuu wako sina vigezo[emoji23],Ya Mirinda nyeusi baridi haitakosekana mjukuu. Mpambano ukianza nitag pulizi
Fungua pm chap nikusbushie mzigoSiikumbuki hata. Wee na reymage mmezingua napicha yenu😔
Nililisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka nikacheka sana..
He he he...N'tuzu nyie hamueleweki aisee..
Nadhani kigezo cha rangi nilitupwa nje ya shindano..si mnajua ugonjwa wenu SYB[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
He he he....Wacha Bwana..Ntuzu hatueleweki tena? Kivipi tena jamani? Kigezo cha rangi unakikidhi na zaidi...yaani umekamilika kila idara. Labda kwa vile tu sikuweko huko vinginevyo ungekuwa unapalilia pamba Nyakabindi sasa hivi [emoji16][emoji16]
Wakulungwa wanauliza hayo matumizi ya baadaye ni yapi Mjep?[emoji38]#wanaulizatu#Nimeihifadhi kwa matumizi ya baadaye
Sasa nidai vocha yako tuu
Muulize Behaviourist mzee wa chura atakupa siri ya kambi😅😅Wakulungwa wanauliza hayo matumizi ya baadaye ni yapi Mjep?[emoji38]#wanaulizatu#
Sent using Jamii Forums mobile app