Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh pole ,Mungu ni mwema ...Dah siamini nimetoboa hadi asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Good morning selfika.
How are you feeling today ?
Ooh pole ,Mungu ni mwema ...Dah siamini nimetoboa hadi asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Good morning selfika.
Vibaya mno[emoji38]
Ile homa inapita daslam imenipitia na mimi.
Pole aisee.Mi leo imeanza kwa mara ya pili
Ilinitandika last week nikapona, leo imeanza tena[emoji2308]
Pole sana
Viungo vinauma mno.Ooh pole ,Mungu ni mwema ...
How are you feeling today ?
[emoji847]Ha ha haaa,kwel mbeya halisi hii
Homa hii mbaya sana .Viungo vinauma mno.
Usiku homa ilipanda mno,,nikawa napambana kuishusha..nikahisi nakata roho aisee[emoji119]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sio kwa kupasifia huko!!!!😁😁 Ngoja tukajionee wenyewe 🙂[emoji173][emoji3059][emoji7][emoji91]
Karibu sana mkoa uliobarikiwa TZ.
Usisahau tu sweta na koti.
Wee kilugha chanini! Kunya anye bata sio ?Wee Fanya kuselfika tu vingine si vya muhimu kuvijua!!Kilugha hiki pelekeni PM sasa...mukazi wange [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wakora [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Pm yanini rafiki ! Wee Fanya kuselfika tu vingine si vya muhimu kuvijua!
Ni Omicron au ni wimbi la homa tu linapita? Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545]Homa hii mbaya sana .
Ugua pole .
Arghhhh! Kwani siselfiki???!!! haya 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶Wakora [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nani huyo amekupangia cha kuandika?Arghhhh! Mnataka kunipangia cha kuandika selfika sio!!! Kwani siselfiki???!!! haya [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Any assistance check billdrago
Fanya uende hospitali na usichukulie poa. Upone haraka!Dah siamini nimetoboa hadi asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Good morning selfika.
Waendeleaje Dada wa ng'ong'ona?Nkamu leo umetembelea uzi wetu pendwa[emoji847][emoji7]
Tunaomba uselfike.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2047018
Mashallah!Lee
Depal
cocastic
@Callius
Mjep
Relief Mirzska
Valentina
Emiir
Kumekucha huko???[emoji113][emoji113][emoji113] View attachment 2047026