Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
'em beautiful eyes [emoji7][emoji7]Block is there jamani kwanini mwajipa tabu?
Nitawafinya wote kifuatacho [emoji41]View attachment 2036194
'em beautiful eyes [emoji7][emoji7]Block is there jamani kwanini mwajipa tabu?
Nitawafinya wote kifuatacho [emoji41]View attachment 2036194
Upo adi saiz. Au ushatokaKimara mwisho.
Huwa unatumia detox ipi mkuu [emoji19][emoji19]Inabidi tuandae detox for January
Aahh sivipendi laana [emoji3064][emoji3064]Mkuu vinaleta usingizi balaaView attachment 2036214
Hivi wasukuma na ugali ni mapacha nini😂Kutakuwa na ugali au ni hayo maembe tu?
Tuanzie hapo kwanza [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] nishawai kimbia sehemu nilikuta ps zimeungana nimeesabu zishaenda 15Let me try this one....mambo ya wadada haya! View attachment 2036161
Beautiful eyes bila kuachilia dimpozi? Aachilie dimpozi ndo zitaendana vizuri na hizo "beautiful eyes"'em beautiful eyes [emoji7][emoji7]
[emoji106] tuselfikeNendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.
Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.
Resistance zenu kazifungulieni uzi.
SawaHebu selfika basi ili tukate mzizi wa fitina[emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nishawai kimbia sehemu nilikuta ps zimeungana nimeesabu zishaenda 15
Shemeji anafaidi
Kaka nataka nijilipue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41]@reymage unataka kumwambia nini huyu binti yetu!!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Buffet la wahenga tuu karibuniView attachment 2035250
Bila ugali kwa kweli mambo hayaendi. Si ajabu hata hiyo dinner ikawa ni ubwabwa tu. Endeleeni tu bageshi [emoji16]Hivi wasukuma na ugali ni mapacha nini[emoji23]
Kwa sasa maembe tu, tunashushia na maji tukisubiri dinner
Naomba uni tagSawa
Soon[emoji23]
😂😂😂Bila ugali kwa kweli mambo hayaendi. Si ajabu hata hiyo dinner ikawa ni ubwabwa tu. Endeleeni tu bageshi [emoji16]
View attachment 2036230
[emoji39][emoji39][emoji39]Block is there jamani kwanini mwajipa tabu?
Nitawafinya wote kifuatacho [emoji41]View attachment 2036194
Zile kampeni zangu kwako sijui ziliishia wapi [emoji2305][emoji2305][emoji2305]. Mambo vipi?Tuchangamshe meno
View attachment 2036204
Oooh! Thanks mai furendi...Sema nakukubali huwa una busara sana. Sijawahi ona mahali unatukana mtu humu hata akikukwaza vipi huwa unajitahidi kumjibu kistaarabu tu.
Kwa comment yake hiyo nina uhakika angelikuwa ni mtu mwingine asingeweza kuvumilia angelipuka kwa matusi na mjadala ndiyo ungekuwa mkubwa zaidi.
Binafsi huwa najifunza sana kuwa na that type of attitude na nikifanikiwa hilo naamini nitakuwa mtu mwingine kabisa. I hope hii ndiyo attitude uko nayo hata in real life.