Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjukuu kausha basi.. Huku ni furaha tuu.. Tutupie picha zetu za selfika n the like.. Mengine hayo na mengineyo tuyapeleke hukoo na kuleee
Babuu nachokozwa afu sina uvumilivu wa kukaa kimya aaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nianze kujaribu km nitaweza. [emoji23][emoji23]
 
Let me try this one....mambo ya wadada haya!
20211207_170706.jpg
 
Pumbavu Sana wew ungekua karibu ningekunasa vibao vikali akili izibuke hio
Nendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.

Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.

Resistance zenu kazifungulieni uzi.
 
Ataje location nikamnasie vibao hapo hapo alipo kwa gharama zangu
 
Nendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.

Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.

Resistance zenu kazifungulieni uzi.
Yes, waanzishe uzi wao hapa nikuselfika tu.
 
Back
Top Bottom