Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,995
- 13,314
Good morning.
Kuna kimvua flani cha kivivu.
Kuna kimvua flani cha kivivu.
@reymage unataka kumwambia nini huyu binti yetu!!Hivi uko Wazi PM?!!
[emoji23][emoji23][emoji23] noma sana sasa sisi tunaolala peke etu alichafuki kabisa sababu sio wachinjajiNa mabaki mabaki ya ule uji mzito, ute ute fulaan iv, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23] noma sana sasa sisi tunaolala peke etu alichafuki kabisa sababu sio wachinjaji
Punguza tumbo shos, [emoji23][emoji23][emoji23]Have a good day!View attachment 2035585
Ngoja nifanye hima aisee !!Punguza tumbo shos, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko chomboni huko, wee hiyo kazi yenu haina masikhara, [emoji23][emoji23][emoji23]Doh sijuagi tu kwanini baadhi ya raia huwa mna mteru mwingi mkiona hiko kivazi! Kumbe sister wako naye yuko chomboni?
.........hv a GoodDay fam[emoji288]View attachment 2035601
Kweli anza kabisa mazoezi. [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nifanye hima aisee !!
Af nlikumic xan, mbna umepotea hivyo?[emoji12]
Harakat tu dada anguu.Af nlikumic xan, mbna umepotea hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana.Harakat tu dada anguu.
But i miss u too[emoji7]
Doh nilivo mzembe sasa!! Nitajitahidi shooKweli anza kabisa mazoezi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ile picha umeweka upo na maziwa mazuri sanaHave a good day!View attachment 2035585
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujuagi vibarua ndo zao hawashibagi wale.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usinikumbushe kilichonipata mwaka huu msimu wa kuvuna[emoji3]
Watu 12,nimeambiwa nisinge ugali mie[emoji3]
Sufuria ndogo
Mwiko hakuna
Siwezi kusonga ugali wa zaidi ya watu 4
Asee nilisonga ugali Mara 3,nilitumia lijiti kusongea
Mboga sasa mchuzi ogelea[emoji3]
Halafu wakasema hawajashiba[emoji41]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Kweli anza ujitahidi bhana, [emoji23][emoji23]Doh nilivo mzembe sasa!! Nitajitahidi shoo
Have a good day!View attachment 2035585
❤️MremboHave a good day!View attachment 2035585