T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,091
- 30,493
Daah kama mimi aseeDecember[emoji482]View attachment 2036107
Inabidi tuandae detox for JanuaryDaah kama mimi asee
I hope my liver is still strong maana huu mwezi nimeuanza vibaya hadi najisikitikia
Nakuja kukuminya tumbo 🤣Tuchangamshe meno
View attachment 2036204
🤣🤣🤣Fresh tu Sister D
Naomba nikupe hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbavu Sana wew ungekua karibu ningekunasa vibao vikali akili izibuke hio
Nice snack bageshi!Tuchangamshe meno
View attachment 2036204
umeona uache tyuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We kakorofi sana wewe. Yaani hushauriki!
Basi angalau ukitaka kufanya harakati zako za ushoga hamishia kwenye ule uzi mwingine ule [emoji16]
Halafu uzee ni baraka bana. Si wote wanaobahatika kuufikia. Hata wewe nakuombea uishi maisha marefu mpaka ufikishe 76 na zaidi!
Enjoy your life mkuu!
Sitajibishana nawe tena
Wasomaji wa kimya kimya bila kuselfika nanyi hamna faida yo yote [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wanatuchosha wasomaji wa kimya kimya woiii[emoji23][emoji23]
Jomoni tyuuuh![emoji16][emoji16][emoji16]umeona uache tyuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]Selfika madam achana na hizo mada zisizo na kichwa wala miguu
Dooh mbona wengine zimetushinda mkuu [emoji21][emoji21]Let me try this one....mambo ya wadada haya! View attachment 2036161
Mkuu vinaleta usingizi balaaDooh mbona wengine zimetushinda mkuu [emoji21][emoji21]
Njoo 🤣🤣Nakuja kukuminya tumbo 🤣
Hebu selfika basi ili tukate mzizi wa fitina[emoji16]Tunayo buana..muulize Mshana Jr
Karibu tuburudikeNice snack bageshi!
Kutakuwa na ugali au ni hayo maembe tu?Karibu tuburudike
Sema nakukubali huwa una busara sana. Sijawahi ona mahali unatukana mtu humu hata akikukwaza vipi huwa unajitahidi kumjibu kistaarabu tu.We kakorofi sana wewe. Yaani hushauriki!
Basi angalau ukitaka kufanya harakati zako za ushoga hamishia kwenye ule uzi mwingine ule [emoji16]
Halafu uzee ni baraka bana. Si wote wanaobahatika kuufikia. Hata wewe nakuombea uishi maisha marefu mpaka ufikishe 76 na zaidi!
Enjoy your life mkuu!
Sitajibishana nawe tena