ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,582
- 127,042
Sio 17 bwana, itakuwa 20+. Binti yangu kabisa wewe...Umenizidi miaka 17
Sio 17 bwana, itakuwa 20+. Binti yangu kabisa wewe...Umenizidi miaka 17
Siyo mwanafunzi huyo bhageshiUgonjwa gani huu bageshi?
Angalia sana usije ukaishia kupigwa mvua Sabaya [emoji16]
[emoji1]acha kunishusha zaidiSio 17 bwana, itakuwa 20+. Binti yangu kabisa wewe...
[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]vzr 'kuzingua' hahahaha
Kabisa!!safi...tuendelee kuchitchat
Sawa rafiki nasubiria [emoji144]usisahau kunitag!hahahaha..Rafiki subiri ile mida yetu ileeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajui wengine hapa ndio kazini penyewe
Una vifununu sana wewe![emoji1]acha kunishusha zaidi
Mimi mkubwa.
Miaka inasogea sana.Una vifununu sana wewe!
Hivi uko Wazi PM?!!Miaka inasogea sana.
Eli lini unarudisha jina?
Mtu topuuuu[emoji41]Buffet la wahenga tuu karibuniView attachment 2035250
HapanaHivi uko Wazi PM?!!
Aaah weeh siendi kulima mie[emoji3]Nenda ukalime shape yote inaishia shamban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wow!! 🥰🥰 kichwa tu kinaonyesha how cute she is...View attachment 2035258
My favorite thing [emoji7]
Sisi tulioacha kula Usiku Tunashangaa tuBuffet la wahenga tuu karibuniView attachment 2035250