Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hadi mbavu zinauma, ko hayo yote unayajua? Tena navalia na kijora changu pambeeee naenda kusasambua had nyonga zijute kukaa kiunoni kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu mie sio mgomvi wala mkorofi, km kweli wee unaona sawia, afu sipendi kuzungumzia hilo suala mahali pasipohusika, tatizo ni hao straight bubu wakiona Id yangu wanahemkwa, sasa wakinichokoza sinaga moyo wa uvimilivu mie, nalianzisha na mie muda huo huo.

Huu uzi sitoki kamweee, na km unategemea nitatoka basi utasubiri sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Km huwa mnanipanikisha ili nitoke thubutuuuh mjipange physiological, maana ndo kwanza mabegi nimeyatua hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu relaaaaaax wee mzeee, unajua unatakiwa usijihusishe na stress na mawazo yasiyo ya lazima. Furahia huo uzee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We kakorofi sana wewe. Yaani hushauriki!

Basi angalau ukitaka kufanya harakati zako za ushoga hamishia kwenye ule uzi mwingine ule [emoji16]

Halafu uzee ni baraka bana. Si wote wanaobahatika kuufikia. Hata wewe nakuombea uishi maisha marefu mpaka ufikishe 76 na zaidi!

Enjoy your life mkuu!

Sitajibishana nawe tena
 
Hello december…

IMG_0121.jpg
 
Nendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.


Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.

Resistance zenu kazifungulieni uzi.
Wanatuchosha wasomaji wa kimya kimya woiii[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom